Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wauguzi ni nguvu ya mabadiliko, ufanisi na huduma za gharama nafuu

Siku ya Wauguzi Duniani huadhimishwa Mei 12, kila mwaka.Mwaka huu siku hii iliadhimishwa Jumanne wiki hii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

11 years ago

Michuzi

BRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU

Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu (katika)  akiakata utepe kuashiria uzinduzi wa miwani ya Kibo  ambayo itamuwezesha  mtanzania yeyote kuweza kupimamacho na kupewa miwani kwa gharama nafuu, (wapili kulia ) ni Rasi wa Chama cha wataalamu wa macho nchini (TOA) Frank Magupa  (wapili  kushoto) ni Ofisa Mkazi wa Shirika  la   Brien Holden  Vision Institute  hapa nchini Eden Mashayo, wakwanza kushoto ni mratibu wa mradi huo Rebecca...

 

11 years ago

GPL

BRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU‏

Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu (katikati) akiakata utepe kuashiria uzinduzi wa miwani ya Kibo ambayo itamuwezesha Mtanzania yeyote kuweza kupima macho na kupewa miwani kwa gharama nafuu, (wa pili kulia ) ni Rasi wa Chama cha wataalamu wa macho nchini (TOA), Frank Magupa  (wa pili  kushoto) ni Ofisa Mkazi wa Shirika la Brien Holden Vision Institute  hapa nchini Eden...

 

11 years ago

GPL

TAASISI YA BRIEN HOLDEN KUZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU‏

Ofisa Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision, Eden Mashayo akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana kuhisina na uzinduzi wa upimaji macho utakao fanyika Dar es Slaam free market mkabala na kituo cha DSTV, Kinondoni jijini Dr es Salaam. Kushoto ni Mratibu mradi huo Violet Shirima.  Ofisa Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision, Eden Mashayo akionesha miwani...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

JK azindua nyumba za gharama nafuu


NA SOPHIA WAKATI, MKINGA
RAIS Jakaya Kikwete amefungua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu wilayani Mkinga ujenzi ambao umegharimu sh. bilioni 1.4 hadi kukamilika.
Kikwete alifungua mradi huo juzi katika ziara yake ya kikazi mkoani humo.
Rais alipongeza jitihada za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanikisha mradi huo huku akiitaka halmashauri ya wilaya hiyo kufanya nalo mawasiliano ili kupata nyumba zitakazowezesha watumishi wake kupata makazi.
Alisema iwapo halmashauri itafanyia kazi...

 

9 years ago

Mtanzania

Madaktari, wauguzi wataka mabadiliko

tana 4Na Deogratias Kishombo, Bukoba

TAASISI  nne zinazojihusisha na masuala ya afya ya binadamu, zimekubaliana kwa pamoja kuunga mkono mabadiliko katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.

Taasisi hizo ni Jumuia ya Madaktari Tanzania (MAT), Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Jumuia ya Wafamasia Tanzania (PST) pamoja na Jumuiya ya Madaktari Wasaidizi Tanzania (AMEPTA).

Viongozi wa taasisi hizo walitoa tamko hilo la pamoja katika Ukumbi wa Hoteli ya Mtakatifu Theresa, mjini Bukoba mkoani Kagera...

 

11 years ago

Mwananchi

Tumieni umeme wa maji, gharama yake ni nafuu

Wizara ya Nishati na Madini imetangaza kuwa umeme wa maji ndio nafuu zaidi kuliko umeme unaotokana na vyanzo vingine.

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA GHARAMA NAFUU ZA MAWASILIANO

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kibiashara wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini hotuba aliyokuwa akitoa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza (hayupopichani) juu ya mwenendo wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani