Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA GHARAMA NAFUU ZA MAWASILIANO

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kibiashara wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini hotuba aliyokuwa akitoa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza (hayupopichani) juu ya mwenendo wa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAIPONGEZA TTCL KWA GHARAMA NAFUU ZA MAWASILIANO

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano uliojengwa na Vodacom kwa ruzuku ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kijiji cha Idodi mkoani Iringa. Kulia kwake ni Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Justina Mashiba na kushoto kwake ni Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini...

 

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAENDELEA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA MAWASILIANO

  Ofisa Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Keith Tukei (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo katika maduka ya Shoppers plaza Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kushoto ni mteja wa kwanza kufika kupata huduma katika duka hilo Bw.Argylle Tsvakai na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia. Mteja wa kwanza kufika katika duka jipya la Vodacom Tanzania Bw.Argylle Tsvakai...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

JK azindua nyumba za gharama nafuu


NA SOPHIA WAKATI, MKINGA
RAIS Jakaya Kikwete amefungua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu wilayani Mkinga ujenzi ambao umegharimu sh. bilioni 1.4 hadi kukamilika.
Kikwete alifungua mradi huo juzi katika ziara yake ya kikazi mkoani humo.
Rais alipongeza jitihada za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanikisha mradi huo huku akiitaka halmashauri ya wilaya hiyo kufanya nalo mawasiliano ili kupata nyumba zitakazowezesha watumishi wake kupata makazi.
Alisema iwapo halmashauri itafanyia kazi...

 

11 years ago

Mwananchi

Tumieni umeme wa maji, gharama yake ni nafuu

Wizara ya Nishati na Madini imetangaza kuwa umeme wa maji ndio nafuu zaidi kuliko umeme unaotokana na vyanzo vingine.

 

10 years ago

Mwananchi

Wauguzi ni nguvu ya mabadiliko, ufanisi na huduma za gharama nafuu

Siku ya Wauguzi Duniani huadhimishwa Mei 12, kila mwaka.Mwaka huu siku hii iliadhimishwa Jumanne wiki hii.

 

11 years ago

GPL

ZIARA YA RAIS KUFUNGUA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU MKUZO, SONGEA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za makazi Mkuzo na kukaribishwa na wenyeji wake Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. David Misonge Shambwe (mwenye tisheti ya pundamilia). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika eneo la tukio ambako alizindua mradi huo.… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA JINSIA

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakifuatilia mafunzo ya sheria inayomlinda mtoto pamoja na masuala mengine ya jinsia yaliyokuwa yakitolewa kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam leo na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba (hayupo pichani).Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WAENDELEA KUNUFAIKA NA SEMINA YA DR.DIDAS JIJINI DAR

Akina mama wakionesha vitenge vya batiki vilivyotengenezwa katika semina hiyo. vitenge vya batiki vikiwa tayari vimetengenezwa.…

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua Nyumba za gharama nafuu za NHC Mjini Songea

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC huko Mkuzo, wilayani Songea mjini mkoani Ruvuma leo. Kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof.Anna Tibaijuka, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Bwana David Misonge Shambwe, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bwana Said Mwambungu. Ris Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la msingi wakati wa ufunguzi wa nyumba ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani