Rais Kikwete azindua Nyumba za gharama nafuu za NHC Mjini Songea
![](http://1.bp.blogspot.com/-ldUQYraAFOg/U8fDQmWacVI/AAAAAAAF3Bc/OvROaRoazZk/s72-c/unnamed+(22).jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC huko Mkuzo, wilayani Songea mjini mkoani Ruvuma leo. Kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof.Anna Tibaijuka, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Bwana David Misonge Shambwe, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bwana Said Mwambungu.
Ris Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la msingi wakati wa ufunguzi wa nyumba ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Rais Kikwete azindua mradi wa nyumba za gharama nafuu Mkuzo, Songea leo
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) na kupokelewa na Ndg. David Shambwe Kaimu Mkurungenzi Mkuu NHC na Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wakati alipokagua mradi huo uliopo katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma akiwa katika ziara yake ya kikazi leo, Rais Dr. Jakaya Kikwete anaendelea na ziara mkoani humo leo. (PICHA ZOTE KWA HISANI YA KITENGO CHA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA JAMII CHA NHC).
Akiwasalimia...
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-33.png)
LUKUVI AZINDUA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZINAZOJENGWA NA NHC WILAYANI MASASI
10 years ago
Michuzi01 Jun
WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50 ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC MJINI KAHAMA
![New Picture (7)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-7.png)
![New Picture (2)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-2.png)
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1.png)
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-7.png)
WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50 ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC MJINI KAHAMA
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Waziri Lukuvi azindua nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC wilayani Masasi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe Lukuvi akisalimia viongozi wa NHC mara baada ya kuwasili eneo la Napupa Masasi kuzindua nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC. Anayemuongoza Mh. Waziri ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Felix Maagi.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na hadhira iliyofurika katika sherehe za uzinduzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Wilayani Masasi.Alizitaka taasisi zinazotoa huduma ya...
10 years ago
Michuzi21 Jun
WAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AZINDUA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZINAZOJENGWA NA NHC WILAYANI MASASI
![New Picture (5)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-53.png)
![New Picture (4)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-43.png)
![New Picture (3)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-33.png)
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Mh. Lukuvi aweka jiwe la msingi nyumba 50 za gharama nafuu za NHC mjini Kahama
Hizi ni miongoni mwa nyumba 50 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC katika mtaa wa Bukondamoyo kata ya Mhungula katika halmashauri ya Mji Kahama mkoani Shinyanga. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Mh.William Vangimembe Lukuvi ameweka jiwe la msingi katika nyumba hizo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Mh.William Vangimembe Lukuvi akiwasili kuweka jiwe la msingi zilizojengwa na NHC eneo la Bukondamoyo Mjini Kahama.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/222.jpg)
ZIARA YA RAIS KUFUNGUA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU MKUZO, SONGEA
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jul
JK azindua nyumba za gharama nafuu
NA SOPHIA WAKATI, MKINGA
RAIS Jakaya Kikwete amefungua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu wilayani Mkinga ujenzi ambao umegharimu sh. bilioni 1.4 hadi kukamilika.
Kikwete alifungua mradi huo juzi katika ziara yake ya kikazi mkoani humo.
Rais alipongeza jitihada za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanikisha mradi huo huku akiitaka halmashauri ya wilaya hiyo kufanya nalo mawasiliano ili kupata nyumba zitakazowezesha watumishi wake kupata makazi.
Alisema iwapo halmashauri itafanyia kazi...