Video: MB Dogg aezelea ujio mpya, ngoma yake na Q-Chief na bendi yao
MB Dogg amesaini mkataba mpya na kampuni ya QS Mhonda J ambayo ndiyo iliyomsainisha pia Q-Chief hivi karibuni. Wawili hao wataanzisha bendi ya pamoja ya kampuni yao, QS Music Band pamoja na waimbaji wengine. Akiongea na Bongo5 TV, MB Dogg amesema wiki ijayo wimbo alioshirikishwa na Q-Chief utaachiwa rasmi huku ngoma yake mwenyewe iitwayo ‘Herufi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo518 Sep
Q Chief adai ngoma yake mpya ‘Chawa’ itasababisha mtafutano!
11 years ago
Bongo519 Aug
Exclusive: Q-Chief aelezea kusaini mkataba na kampuni mpya, majaribu, alichojifunza na ujio wake kama msanii aliyebadilika (Video)
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: TID na Q-Chief wazungumzia kazi yao mpya ‘Mkungu wa Ndizi’

Wasanii wakongwe nchini TID na Q-Chief wameachia kazi yao ya pamoja iitwayo ‘Mkungu wa Ndizi.’
Wakiongea na Bongo5, wasanii hao walisema kuwa wimbo huo wenye mahadhi ya pwani una tofauti kubwa na kazi zao za nyuma.
Wamesema wameamua kuileta tena ladha ya muziki wa pwani wa Afrika Mashariki ambayo wanaamini imepotea redioni na pia kuonesha ukongwe wao.
“Hii ngoma mimi naiweka kwenye history kwasababu watu walishasema ‘hivi hawa watakuja kufanya tena kazi pamoja!’, amesema Q-Chief.
Amedai...
11 years ago
Michuzi19 Oct
MSONDO NGOMA YAENDELEA NA MAKAMUZI YA MIAKA 50 YA BENDI YAO
10 years ago
CloudsFM20 Nov
DIAMOND AACHIA AUDIO&VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA IITWAYO NTAMPATA WAPI
Diamond Platinumz wakati akitambulisha ngoma yake mpya iitwayo Ntapata Wapi leo hii kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.
Hapa akichagua barua za wale waliotuma kwa ajili ya watoto wao wanaompenda Diamond na atakayeshinda atatembelewa na msanii huyo nyumbani kwake.
11 years ago
CloudsFM22 Jul
'SUPA NYOTA' NEY LEE AREKODI VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA YA ’NIPE MUDA’ NCHINI ZAMBIA
Msanii zao la Supa Nyota 2012 Ney Lee anaelekea kukamilisha video ya wimbo wake mpya ‘Nipe Muda’ inayofanyika nchini Zambia na kampuni ya Video ya F2K Production.