Exclusive: Q-Chief aelezea kusaini mkataba na kampuni mpya, majaribu, alichojifunza na ujio wake kama msanii aliyebadilika (Video)
Muimbaji mkongwe wa muziki wa Bongo Flava aliyewahi kuhit na nyimbo nyingi, Abubakar Katwila aka Q-Chief amesaini mkataba wa usimamizi na kampuni ya Apex Consultants & Associates ya QS ya Joseph Mhonda. Akiongea na Bongo5 kwenye mahojiano exclusive, Chief amesema kusaini mkataba na kampuni hiyo kumempa matumaini mapya baada ya kuwa kwenye majaribu mazito kwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL20 May
10 years ago
Bongo523 Aug
Video: MB Dogg aezelea ujio mpya, ngoma yake na Q-Chief na bendi yao
MB Dogg amesaini mkataba mpya na kampuni ya QS Mhonda J ambayo ndiyo iliyomsainisha pia Q-Chief hivi karibuni. Wawili hao wataanzisha bendi ya pamoja ya kampuni yao, QS Music Band pamoja na waimbaji wengine. Akiongea na Bongo5 TV, MB Dogg amesema wiki ijayo wimbo alioshirikishwa na Q-Chief utaachiwa rasmi huku ngoma yake mwenyewe iitwayo ‘Herufi […]
10 years ago
Bongo513 Oct
Video: Akili The Brain akiongelea ujio wake mpya
Mtazame muimbaji na producer mkongwe, Akili the Brain akielezea ujio wake mpya baada ya kutoka nchini India kuongeza ujuzi wa masuala ya utayarishaji.
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Sergio Busquet Kusaini mkataba mpya.
Kiungo mahiri wa klabu ya Barcelona Sergio Busquets anatarajia kuongeza mkataba na miamba hao wa soka wa Hispania.
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Van Persie kusaini mkataba mpya
Mshambulizi wa Manchester United Robin van Persie amesema kuwa yuko tayari kuongeza muda wa mkataba wake na Man United
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qmsUgHzH5lPTFd4gKQrf3QPhwTGK2FxmKpUr9DvGJXnpN1AkTjcJFcRcgYsFHbTPY7Zky-6gMf5AiR-FkF2lNUlXW8LUVhg7/NIYONZIMA.jpg)
Niyonzima agoma kusaini mkataba mpya Yanga SC
Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima. Na Elius Kambili,
YANGA wajanja sana, kwani wanataka Haruna Niyonzima asaini mkataba mpya na klabu yao halafu malipo yafanyike baadaye kwa awamu jambo ambalo limepingwa na kiungo huyo raia wa Rwanda. Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao mikataba yao itafikia tamati mwishoni mwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara ifikapo Mei, mwaka huu.Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa kiungo huyo,...
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI KUDHAMINI UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA MSANII “LINAH"
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania