GLOBAL TV ONLINE: MSANII PIPI WA THT AFUNGUKIA UJIO WAKE MPYA
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLQ-CHILLAH ATINGA GLOBAL TV ONLINE, AFUNGUKA KUHUSU UJIO WAKE MPYA
Nguli wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akifunguka ndani ya studio za Global TV Online leo. Q-Chillah akionyesha Cd ya wimbo wake mpya uitwao 'Nipende Nikupende' aliofanya na MB Dog. …
10 years ago
GPL09 May
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/nl24sNjFx74/default.jpg)
10 years ago
GPLBARNABA, PIPI NA RUBY WATINGA GLOBAL TV ONLINE
Barnaba akimpigia gitaa pipi aliyekuwa akiimba wimbo wake mpya wa Shauri Yako. Pipi akijibu moja ya swali aliloulizwa na waandishi (hawapo pichani). Barnaba akifanyiwa mahojiano na Shorvieny Mohamed katika kipindi cha Mtu Kati.…
10 years ago
Bongo519 Aug
Exclusive: Q-Chief aelezea kusaini mkataba na kampuni mpya, majaribu, alichojifunza na ujio wake kama msanii aliyebadilika (Video)
Muimbaji mkongwe wa muziki wa Bongo Flava aliyewahi kuhit na nyimbo nyingi, Abubakar Katwila aka Q-Chief amesaini mkataba wa usimamizi na kampuni ya Apex Consultants & Associates ya QS ya Joseph Mhonda. Akiongea na Bongo5 kwenye mahojiano exclusive, Chief amesema kusaini mkataba na kampuni hiyo kumempa matumaini mapya baada ya kuwa kwenye majaribu mazito kwa […]
10 years ago
GPLMAMBA DUDUBAYA AFUNGUKIA MAISHA YAKE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini 'Mamba Dudubaya' katika pozi ndani ya studio za Global TV Online leo. Mamba Dudubaya akifafanua jambo wakati akihojiwa na Global TV Online leo.…
10 years ago
GPLSNURA ATINGA GLOBAL TV, AFUNGUKIA UKIMYA WAKE
Msanii wa muziki wa mduara, Snura Mushi 'Snura' akiwa katika pozi. Mtangazaji wa Global TV, Mourad Alpha (kushoto) akifanya mahojiano na Snura.…
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/jXeKkzH4PsE/default.jpg)
10 years ago
GPLJOKATE ATINGA NDANI YA GLOBAL TV, AFUNGUKIA BIASHARA NA UHUSIANO WAKE NA MASTAA
Jokate (katikati) akizungumza jambo na mdamini wake mkuu, Deng Guoxun . Jokate akifafanua jambo mbele ya waandishi (hawapo pichani). Jokate akisikiliza moja ya maswali kutoka kwa waandishi.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania