Niyonzima agoma kusaini mkataba mpya Yanga SC
![](http://api.ning.com:80/files/qmsUgHzH5lPTFd4gKQrf3QPhwTGK2FxmKpUr9DvGJXnpN1AkTjcJFcRcgYsFHbTPY7Zky-6gMf5AiR-FkF2lNUlXW8LUVhg7/NIYONZIMA.jpg)
Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima. Na Elius Kambili, YANGA wajanja sana, kwani wanataka Haruna Niyonzima asaini mkataba mpya na klabu yao halafu malipo yafanyike baadaye kwa awamu jambo ambalo limepingwa na kiungo huyo raia wa Rwanda. Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao mikataba yao itafikia tamati mwishoni mwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara ifikapo Mei, mwaka huu.Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa kiungo huyo,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2C1Kdsbffb4/VQj2dKk_cKI/AAAAAAAHLLE/ZxPXyAB1pmM/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
MRISHO NGASSA ATUMISHA MSULI, AGOMA KUSAINI YANGA!
![](http://1.bp.blogspot.com/-2C1Kdsbffb4/VQj2dKk_cKI/AAAAAAAHLLE/ZxPXyAB1pmM/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
Mrisho Ngassa amegoma kusaini mkataba mpya na Yanga mpaka uongozi utakampomlipa deni lake la Sh45 milioni, akidai kwamba uongozi wa Yanga ulimuhadaa akope fedha zake benki ya CRDB ili ailipe Simba kwa kile walichomuadi kumlipia deni hilo.
"Yanga wasipotoshe ukweli...wao waliniambia nikope fedha, watalipa. Matokeo yake wananikata mshahara wangu wote, nimegoma kusaini ndiyo! Mpaka wanilipe deni langu Sh45 milioni wakishanilipa nitakubali kukaa mezani tujadili mkataba mpya."alisema...
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Sergio Busquet Kusaini mkataba mpya.
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Van Persie kusaini mkataba mpya
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Yanga yavunja mkataba na Niyonzima
![NIYONZIMANEW4](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/NIYONZIMANEW4.jpg)
10 years ago
Bongo519 Aug
Exclusive: Q-Chief aelezea kusaini mkataba na kampuni mpya, majaribu, alichojifunza na ujio wake kama msanii aliyebadilika (Video)
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Sudan.K: Kusaini mkataba wa amani
9 years ago
Habarileo12 Sep
TFF, NHIF kusaini mkataba wa mwaka
MKATABA wa mwaka mmoja wa udhamini wa Mfuko wa Bima ya Afya nchini (NHIF) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya wachezaji wa klabu 16 za Ligi Kuu na viongozi wa benchi la ufundi, unatarajiwa kusainiwa rasmi keshokutwa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NOzw*b8EyMrdSGT5fDZWw9MBE8Gq2nTv04Lpm2bMieHpYiiqAr6ISi--S6jta4Pl4fID8Feqpxd21cmWnQCtlourIvG97Soi/sima.gif?width=650)
Simba yamzuia straika ligi kuu kusaini mkataba
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Barcelona yavunja Mkataba na Guardiola saa moja baada ya kusaini
Sergi Guardiola.
Barcelona, Hispania
KLABU ya Barcelona nchini Hispania imeingia kwenye headline leo baada ya kuvunja mkataba wake na mchezaji Sergi Guardiola saa moja baada ya kumsajili.
Hii imetokea baada ya Sergi Guardiola (hana uhusiano na Pep) kuandika kwenye mtandao wa twitter maneno ambayo yanaonesha kuuchukiza uongozi wa Barca.
Kiungo Guardiola mwenye umri wa miaka 24, kabla ya kujiunga na Barca alikuwa akichezea timu ya Alcorcon inayoshiriki ligi ndogo za Hispania.
Walichokisema...