Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yamzuia straika ligi kuu kusaini mkataba

Na Lucy Mgina
STRAIKA wa Tanzania Prisons, Six Ally Mwakasega, ambaye ni mmoja wa nyota wanaotakiwa na Klabu ya Simba, amesema yupo tayari kujiunga na vijana hao wa Msimbazi iwapo tu watampa maslahi mazuri.
Six alijiunga na Prisons msimu uliopita akitokea Majimaji ya Songea ambayo ipo Ligi Daraja la Kwanza.
Akizungumza na Championi Jumatano, Six ambaye amemaliza mkataba na kikosi cha Prisons, alisema amesitisha zoezi la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Straika aliyeiua Yanga avunja mkataba Simba

Mshambuliaji aliyetokea kukonga mioyo ya mashabiki wa Simba kwa kufumania nyavu, Betram Mwombeki(kushoto). Na Hans Mloli
STRAIKA wa Simba, Betram Mwombeki, amesema kwamba yupo tayari kuvunja mkataba na klabu hiyo endapo ataendelea kusota benchi na kukosa amani kwenye kikosi hicho msimu ujao.
Mwombeki aliyesajiliwa na Simba iliyokuwa chini ya Abdallah Kibadeni msimu uliopita, alikuwa shujaa wa timu hiyo kwenye mechi kadhaa...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Je, Simba itarudi kuwa Simba halisi msimu huu?

Ukiwa shabiki wa Simba, hakuna kitu kilichoumiza kama kumuona nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ akikabidhiwa taji la 24 la ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita. Uwe mbele ya televisheni ya Azam TV, au kama ulikuwa uwanjani, ilikuwa picha inayoumiza sana.

 

10 years ago

GPL

VODACOM NA TFF ZATILIANA SAINI MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI KUU TANZANIA BARA

Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa wakijiandaa kutiliana saini mikataba yao. Kulia anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi hiyo, Boniface Wambura. Malinzi na Twissa wakibadilishana mikataba huku Wambura (katikati) akishuhudia.
Malinzi akisistiza jambo kwenye mkutano…

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom na TFF zasaini mkataba wa udhamini wa ligi kuu kwa miaka mitatu

 Rais wa shirikisho la mpira wa  miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa(kulia)wakielekezwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano ya udhamini wa ligi Kuu ya  Vodacom Tanzania  bara kwa msimu wa 2015/16.

 Rais wa shirikisho la mpira wa  miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)pamoja na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa(katikati)wakisaini mkataba...

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan.K: Kusaini mkataba wa amani

Pande zinazozozana kwenye mgogoro wa Sudan Kusini zinatarajiwa kutia saini mkataba wa kusitisha vita mjini Addis Ababa Ethiopia

 

10 years ago

Mtanzania

Simba moto Ligi Kuu

JO6A2301*Yaiua Kagera, Kiiza akipiga ‘hat trick’, waionyeshea Yanga alama ya saa

*Azam, Mtibwa Sugar nazo zaendeleza dozi, Coastal Union mambo magumu

 

NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

TIMU ya Simba imeonekana kuwa moto wa kuotea mbali kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), baada ya kupata ushindi wa tatu mfululizo kwa kuichapa Kagera Sugar mabao 3-1 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Simba kabla ya kuingia kwenye mchezo huo iliweza kuzichapa ugenini timu za Tanga, African Sports bao 1-0...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sergio Busquet Kusaini mkataba mpya.

Kiungo mahiri wa klabu ya Barcelona Sergio Busquets anatarajia kuongeza mkataba na miamba hao wa soka wa Hispania.

 

10 years ago

Habarileo

TFF, NHIF kusaini mkataba wa mwaka

MKATABA wa mwaka mmoja wa udhamini wa Mfuko wa Bima ya Afya nchini (NHIF) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya wachezaji wa klabu 16 za Ligi Kuu na viongozi wa benchi la ufundi, unatarajiwa kusainiwa rasmi keshokutwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Van Persie kusaini mkataba mpya

Mshambulizi wa Manchester United Robin van Persie amesema kuwa yuko tayari kuongeza muda wa mkataba wake na Man United

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani