KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI KUDHAMINI UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA MSANII “LINAH"
Meneja wa Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Estelina Sanga maarufu kwa jina la “Linah”, Doreen Noni toka Kampuni ya Panamusiq inayosimamia kazi za msanii huyo (wa kwanza kulia) akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) kuhusu udhamini wa video ya msanii wake walioupata toka Kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake cha Jebel na kufafanua zaidi juu ya uzinduzi wa video hiyo mpya itakayotambulika kwa jina la “No Stress” anayotarajia kuzindua hivi karibuni. Wa pili kulia ni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Kampuni ya Bia ya Serengeti kudhamini michuano ya Gofu ya Waitara!
![CAMPIX PRODUCTION](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/11/27.jpg)
CAMPIX PRODUCTION
Meneja chapa (vileo kali) wa Serengeti Breweries Limited, Shomari Shija, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam kuhusiana na mashindano ya siku moja ya gofu ya kumuenzi Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara yatakayofanyika katika klabu ya Gofu ya Lugalo jumamosi. Kushoto ni katibu wa klabu ya Gofu ya Lugalo Kanali Mstaafu John Nyalusi. Kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake kikali cha Johnnie Walker...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xaArJC39MKc/Uvt-1sVgfdI/AAAAAAACams/rANa0fea9rU/s72-c/1st+draw+......pic+...5jpg.jpg)
KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAENDESHA DROO YA KWANZA YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-xaArJC39MKc/Uvt-1sVgfdI/AAAAAAACams/rANa0fea9rU/s1600/1st+draw+......pic+...5jpg.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-fmUXTOHXw5A/Uvt-zwpBKpI/AAAAAAACamg/DNeO9tpxvSE/s1600/1st+draw+......pic+...3jpg.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hW8GKazRufc/U1A3iq5WAaI/AAAAAAACfFw/Y9GDYO0Wrr4/s72-c/DSC_0801+(2).jpg)
KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YACHEZESHA DROO YAKE YA KUMI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI
![](http://3.bp.blogspot.com/-hW8GKazRufc/U1A3iq5WAaI/AAAAAAACfFw/Y9GDYO0Wrr4/s1600/DSC_0801+(2).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-t20HPVs48k4/U1A4NchFkqI/AAAAAAACfGk/OqZ8UAD3Aik/s1600/DSC_0783+(3).jpg)
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) yahitimisha kampeni ya “Serengeti Masta” kwa kishindo jijini Dar
Mshiriki wa shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta kwa wilaya ya Temeke Emmanuel Nyaulingo (kulia) akipokea zawadi ya fulana kabla ya shindano hilo kuanza rasmi ambalo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika baa ya Kisuma iliyopo Temeke jijini Dar es salaam. (kushoto) ni balozi wa bia ya Serengeti Premium Lager Caroline Vincent na anayeshudia (katikati) ni mshereheshaji wa shindano hilo Richard Godwin. Kampeni hiyo inafikia tamati jijini Dar es salaam baada ya kumalizika mikoani pia...
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAZINDIUA MSIMU WA FIESTA 2014
Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....
11 years ago
Michuzi04 Feb
Kampuni ya Bia ya Serengeti Kuwapeleka Watanzania Brazil Kombe la Dunia
![Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni Meneja Masoko wa SBL, Allan Chonjo (wa pili kushoto).](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/02/IMG_51601.jpg)
![Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Allan Chonjo (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraim Mafuru (wa pili kulia)](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/02/IMG_5184.jpg)
![Shamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni ya Shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia pia ya Serengeti](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/02/IMG_5254.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3DTEhRAn2PM/U8bntBMMmJI/AAAAAAAClk0/NdjgBcY5dbw/s72-c/13.jpg)
THT YAANDAA HAFLA YA KUMUAGA MSANII LINAH,AZINDUA VIDEO MPYA MBELE YA MASUPASTAA KIBAO JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-3DTEhRAn2PM/U8bntBMMmJI/AAAAAAAClk0/NdjgBcY5dbw/s1600/13.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-LGuH7vxjOkM/U8bn2HBso9I/AAAAAAACllc/OgPLiPnj1d4/s1600/18.jpg)