Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI MAALUM WA NGUO ZA T.I WATANGAZWA DAR

Rappa kutoka nchini Marekani, Clifford Joseph Harris,'T.I' ni mmoja wa wanamuziki watakaopiga shoo katika Usiku wa Fiesta 2014 viwanja vya Leaders Club.   WAKATI ukidhani kwamba Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 halitakuwa na kitu kingine kikubwa kufuatia taarifa kuwa mshindi wa tuzo ya Grammy rapa T.I. ataongoza shoo siku hiyo, imetangazwa kwamba kutakuwa na uzinduzi maalum wa nguo anazotumia T.I. kama vile Hustle Gang,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MASHINDANO YA POLISI JAMII KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM - KAMISHNA KOVA CUP KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI

JESHI  la Polisi  Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatarajia kuzindua mashindano ya michezo mbalimbali kwa lengo la kuwashirikisha wananchi  wa  rika zote  na  itikadi  mbalimbali yatakayojulikana“KAMISHNA KOVA CUP”.
 Madhumini ya mashindano haya ni  ni  Kuwaunganisha wananchi wenye itikadi mbalimbali ili kupitia mashindano  haya  watakaoshiriki  watajifunza  masuala  ya usalama, uzalendo  na kuzingatia utaifa kwa madhumuni ya kuwashirikisha kikamilifu katika ulinzi wa nchi na kudumisha amani ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge zawakumbusha Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuwa Wazalendo

 

MW1A Makamu wa Rais wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal akipokea kijingi cha moto kutoka kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara, tayari kwa kuuwasha Mwenge wa Uhuru na kuzindua rasmi mbio za mwenge huo leo mjini Bukoba Mkoani Kagera.

Na: Aron Msigwa na Frank Shija- MAELEZO

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal ametoa wito kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kufanya maamuzi yanayozingatia maslahi mapana ya taifa ili kufanikisha...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI NI KESHO VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM MAANDALIZI YAMEKAMILIKA WANA MUZIKI LULUKI KUTOA BURUDANI WANDUGU SAIDIA TUTANI UZINDUZI RASMI NI KESHO

 Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai,  viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika viwanja...

 

10 years ago

Michuzi

shamrashamra za manunuzi ya nguo za krismasi mtaa wa kongo jijini dar leo


SHAMRA SHAMRA ZA MANUNUZI YA BIDHAA ZA KRISMAX MTAA WA KONGOBaadhi ya akina mama wakichagua nguo Mfanyabiashara  katika mtaa wa kongo akipuliza mrija wenye maji ya sabuni ambayo anauza 
mama huyu akitengenezwa nywele baada ya kununua mtaa wa Kongo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA PUNGUZO LA BEI HADI 80% KWENYE MADUKA MAKUBWA YA NGUO DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza Punguzo kubwa la Bei ya Nguo la hadi 80% kwenye Maduka Makubwa ya Nguo yaliyopo Jijini humo ili kuhakikisha Wananchi wanapendeza na kuwa nadhifu Jumapili ya May 24 kwenye Kilele cha Siku Tatu za Shukrani Kwa Mungu zilizotangazwa na Rais Dkt. John Magufuli.

RC Makonda amesema Miongoni mwa Maduka Makubwa yaliyoamua kutoa punguzo la bei ni pamoja na Mr. Price na Red Tag ya Mlimani city, Vunja Bei, Maduka yaliyopo City Mall pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA "TUNAKUWAWEZESHA" YAMUWEZESHA FUNDI NGUO, BETHA BENEDICT MKAZI WA BUNJU JIJINI DAR

????????????????????????????????????Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kukabdhi mashine ya cherehani yakushonea nguo kwa fundi wa kushona nguo, Betha Benedict mkazi wa Bunju Jijini Dar es Salaam baada ya kuwezeshwa na mpango wa Airtel Fursa “Tunakuwezesha” (katikati), Betha Benedict aliyewezeshwa na mpango huo, na kushoto ni mama yake Betha Benedict.????????????????????????????????????Mama yake Betha akiishukuru Kampuni ya Airtel kwakumuwezesha Mwanae kwakupitia mpango wa Airtel Fursa “Tunakuwezesha”????????????????????????????????????

 

11 years ago

Dewji Blog

Uchaguzi wa BAVICHA watangazwa

JOHN HECHE BAVICHA KIKAO CHA KAMATI UTENDAJI BAVICHA PIX NO 1

Mwenyekiti wa Taifa, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA), John Heche.(Picha na Maktaba)

Na Mwandishi wetu

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Septemba 10, mwaka huu kutokana na umri wake kuwa mkubwa.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Heche alisema anaheshimu Katiba ya chama hicho ambapo kutokana na umri wake kuvuka miaka 30, hatagombea tena nafasi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wosia wa Mandela watangazwa

Wosia wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela umesomwa huku mgawanyo wa mali zake ukielekezwa katika maeneo tofauti.

 

10 years ago

Vijimambo

WAFUNGWA GEREZA KUU UKONGA, DAR ESALAAM MAHIRI KWA USHONAJI WA NGUO ZA AINA MBALIMBALI MAGEREZANI

 Mkuu wa Kiwanda cha Gereza Kuu Ukonga, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Ismail Mlawa akiongea na Wanahabari(hawapo pichani). Wafungwa wa Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam wakikata vitambaa vya nguo kabla ya kuanza kushona nguo za Wafungwa Magerezani. Wafungwa hao hujifunza Stadi mbalimbali za ujuzi ambazo huwasaidia kujipatia kipato mara tu wanapomaliza kifungo chao.
 Wafungwa wa Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam wakiendelea na ushonaji wa nguo za aina mbalimbali kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani