Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFUNGWA GEREZA KUU UKONGA, DAR ESALAAM MAHIRI KWA USHONAJI WA NGUO ZA AINA MBALIMBALI MAGEREZANI

 Mkuu wa Kiwanda cha Gereza Kuu Ukonga, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Ismail Mlawa akiongea na Wanahabari(hawapo pichani). Wafungwa wa Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam wakikata vitambaa vya nguo kabla ya kuanza kushona nguo za Wafungwa Magerezani. Wafungwa hao hujifunza Stadi mbalimbali za ujuzi ambazo huwasaidia kujipatia kipato mara tu wanapomaliza kifungo chao.
 Wafungwa wa Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam wakiendelea na ushonaji wa nguo za aina mbalimbali kama...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAFUNGWA GEREZA KUU UKONGA, DAR ES SALAAM MAHIRI KWA USHONAJI WA NGUO ZA AINA MBALIMBALI MAGEREZANI


Wafungwa wa Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam wakikata vitambaa vya nguo kabla ya kuanza kushona nguo za Wafungwa Magerezani. Wafungwa hao hujifunza Stadi mbalimbali za ujuzi ambazo huwasaidia kujipatia kipato mara tu wanapomaliza kifungo chao.
Wafungwa wa Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam wakiendelea na ushonaji wa nguo za aina mbalimbali kama wanavyoonekana katika picha. Jeshi la Magereza nchini linatekeleza ipasavyo jukumu lake la Urekebishaji kwa kuwapatia ujuzi wa fani...

 

9 years ago

Michuzi

MWILI WA AFISA WA GEREZA KUU UKONGA WAAGWA LEO UKONGA JIJINI, DAR ESALAAM

 Baadhi ya Maofisa wa Jeshi la Magereza waliohudhuria katika hafla ya kuaga mwili wa Marehemu Mkaguzi wa Magereza, Morice Peter. Mke wa Marehemu Mkaguzi wa Magereza, Dorice Peter(kulia) akipewa msaada ndugu wa karibu wakati wa kusindikiza mwili kuelekea kwenye gari tayari kwa safari ya kuelekea Mkoani Morogoro kwenye mazishi.
 Mkaguzi wa Magereza, Seleman Sued wa Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam akisoma Wasifu wa Mkaguzi wa Magereza Morice Peter aliyefariki juzi Desemba, 2015 katika...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA "MAGEREZA DUTY FREE SHOP" PAMOJA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MABAKULI YA WAFUNGWA GEREZA UKONGA, JIJINI DAR

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha kutengeneza Bakuli na Vikombe vitakavyokuwa vinatumika na Wafungwa Magerezani kulia chakula(wa kwanza kulia) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(kushoto) akiwaonesha Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Dar es Salaam jiwe la msingi la Jengo la Magereza Duty Free Shop iliyopo Gereza...

 

5 years ago

Michuzi

MAAFISA WASHIRIKI KUTOKA CHUO CHA ULINZI WA TAIFA(NDC) WATEMBELEA KIWANDA CHA GEREZA KUU UKONGA JIJINI DSM


Maafisa Washiriki kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa wakizungumza na mfungwa ambaye amepatiwa ujuzi gerezani wa fani ya ushonaji katika Kiwanda cha Ushonaji cha Gereza Kuu Ukonga kama inavyoonekana katika picha. Maafisa Washiriki kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa wakitoka  katika Kiwanda cha Gereza Kuu Ukonga kuendelea na ziara yao ya mfunzo katika maeneo mbalimbali...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAWASILISHA STADI JUU YA JINSI YA KUDHIBITI IDADI YA WAFUNGWA MAGEREZANI LEO JIJINI DAR

Kamishna wa Huduma za Urekebishaji wa Magereza, Deonice Chamulesile akisoma risala ya ufunguzi katika Kikao cha uwasilishaji wa Stadi juu ya jinsi ya kudhibiti idadi ya Wafungwa Magerezani iliyofanywa na Asasi ya Kiraia ya IRaWS - T. Kikao hicho kimefanyika leo Aprili 30, 2014 katika Ukumbi wa Luther House, Jijini Dar es Salaam(wa kwanza kulia) ni Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Nicas Banzi(wa pili kushoto) ni Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza Onel Malisa(wa kwanza kushoto) ni Katibu...

 

5 years ago

Michuzi

THBUB: Msamaha kwa Wafungwa ni hatua muhimu kuzuia maambukizi ya Korona Magerezani

Na Mbaraka Kambona,

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Magufuli wa kuwasamehe wafungwa 3973 ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya maradhi yanayosababishwa na Virusi vya Korona.

Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona.

Alieleza kuwa msamaha huo ni muhimu...

 

9 years ago

Michuzi

Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro akabidhi vifaa vya michezo kwa wafungwa wa gereza la karanga


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla amekabibidhi vifaa vya michezo ikiwemo jezi, mipira,nyavu za magoli na vikombe kwa ajili ya timu ya wafungwa na askari gereza la Karanga Moshi ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa hivi karibuni baada ya kufanya ziara gerezani hapo na kupokea maombi.
Katika hafla ya kukabidhi vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu na nusu aliwakumbusha wafungwa na mahabusu kuwa michezo hujenga umoja, michezo ni burudani, michezo ni kwa afya na zaidi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wafungwa wafanya ujangili magerezani

Kwa wiki ya tatu mfululizo magazeti ya Mwananchi Jumamosi na Jumapili yamekuwa yakikuletea Ripoti Maalumu kuhusu baadhi ya watu wanaoendesha uhalifu wakiwa gerezani hasa ujangili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani