Pinda atamani sheria ya wosia
Jonas Mushi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema kuna haja ya kuwa na sheria itakayowezesha uandikishaji wosia kuwa wa lazima ili kuondokana na migogoro ya kugombania mali za marehemu na unyanyasaji wa wajane na watoto.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, katika maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na uzinduzi wa kampeni ya uandishi wa wosia.
Alisema migogoro hiyo kwa kiasi kikubwa inaathiri wanawake na watoto pindi wazazi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Wosia, sheria zinazosimamia mgawanyo wa mali
WOSIA ni kauli inayotolewa na mtu wakati wa uhai wake kwa hiari yake kuonyesha jinsi gani angependa mali yake igawanywe baada ya kufa kwake. Wosia unaweza kuwa wa mdomo na...
10 years ago
Habarileo30 May
Pinda: Jengeni tabia ya kuandika wosia
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewataka Watanzania wote kujenga tabia ya kuandika wosia, ili kuondoa matatizo ya mirathi pale mume au mke anapoaga dunia.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-n5YRTLK_ya4/VObmysE3iyI/AAAAAAAHEsE/RVzo3gPwhgw/s72-c/download.jpeg)
MAKALA SHERIA: MFANO (Sample) YA JINSI WOSIA UNAVYOKUWA/UNAVYOANDIKWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-n5YRTLK_ya4/VObmysE3iyI/AAAAAAAHEsE/RVzo3gPwhgw/s1600/download.jpeg)
Wapo watu ambao shida yao ni kuandaa wosia lakini tatizo ni waanzeje. Je waandike kama barua, je waandike kama makala, je waandike kama maombi ya zabuni, je waandike kama notisi, waandikeje hasa. Wapo watu ambao wameshaandika wosia lakini wameandika hovyohovyo tu bila mpangilio maalum.
Ikumbukwe kuwa wosia mbovu usio katika taratibu na mpangilio wa kisheria ni wosia ambao baada ya kufa kwako unaweza kuleta ugomvi mkubwa na hatimaye inaweza kuamuliwa kuwa wosia huo...
10 years ago
Habarileo03 Oct
Pinda atamani kura kabla ya Uchaguzi Mkuu
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema ana shauku kuona Katiba Inayopendekezwa, inapigiwa kura na Watanzania na kuwa Katiba kabla hata ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, kwa kuwa ikiachiwa kuna watu wanaweza kuleta vurugu.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YK7YUxgP3lA/VNkQhiFP-RI/AAAAAAAHCto/7JEmX9UFYuo/s72-c/download%2B(1).jpg)
JE WAJUA KUWA WOSIA WA MANENO NI WOSIA HALALI KISHERIA?
![](http://2.bp.blogspot.com/-YK7YUxgP3lA/VNkQhiFP-RI/AAAAAAAHCto/7JEmX9UFYuo/s1600/download%2B(1).jpg)
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Pinda: Sheria ya takwimu imeridhiwa Afrika
NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema muswada wa sheria mpya ya takwimu umefuata makubaliano ya nchi za Afrika na duniani kuhusu utengenezaji na usambazaji wa takwimu.
Pinda aliyasema hayo jana mara baada ya kufungua kongamano lililolenga kutoa elimu kwa wakuu wa ofisi za takwimu wa nchi za Afrika zinazozungumza Kiingereza juu ya uongozi na usimamizi.
Alisema lengo la sheria hiyo ambayo inasubiri kusainiwa na Rais Jakaya Kikwete ili kuanza kutumika, ni kutekeleza...
10 years ago
Mtanzania26 Mar
Pinda: Serikali imeandaa sheria ya gesi
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeandaa sera, taratibu na sheria madhubuti zitakazosimamia uvunwaji wa gesi nchini.
Pinda alisema hayo Dar es Salaama jana katika mkutano wa 20 wa Taasisi wa Uchumi na Umasikini (REPOA) uliokuwa uanajadili namna gani nchi inaweza kufaidika na matumizi ya gesi.
Alisema katika suala la gesi Serikali imejipanga kuepuka kuingiza watanzania katika machafuko.
“Hii rasilimali ya gesi inaweza kuwa baraka au inaweza kuwa laana...
10 years ago
Michuzi04 Dec
MBUNIFU WA MAVAZI SHERIA NGOWI AKUTANA NA WAZIRI MKUU PINDA
![1](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/15.jpg)
WaziriMkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar esSalaam. (Picha Zote: AtuzaNkurlu-SheriaNgowi Brand).
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/24.jpg)
![3](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/32.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-mMOTtC59Ckk/VIALVDEhB3I/AAAAAAADJaI/7goPi-43XRc/s72-c/1.jpg)
MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AKUTANA NA WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA
![](http://3.bp.blogspot.com/-mMOTtC59Ckk/VIALVDEhB3I/AAAAAAADJaI/7goPi-43XRc/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-XqDZ9luSQic/VIALa3I3njI/AAAAAAADJaY/2r_gJu0O7r0/s1600/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-W-Qc--GYa3w/VIALZaIqSGI/AAAAAAADJaQ/nger9cDQE14/s1600/3.jpg)