Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda: Jengeni tabia ya kuandika wosia

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewataka Watanzania wote kujenga tabia ya kuandika wosia, ili kuondoa matatizo ya mirathi pale mume au mke anapoaga dunia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TCCIA: Jengeni tabia ya kununua hisa

Watanzania wametakiwa kutafuta ufahamu kuhusu masuala ya hisa na kujenga tabia ya kuzinunua kama sehemu ya uwekezaji kwa maendeleo yao na Taifa kwa jumla.

 

5 years ago

Michuzi

UMUHIMU WA KUANDIKA WOSIA ILI KUMKOMBOA MWANAMKE NA FAMILIA.

*RITA ilianzisha kitengo cha kuandika na kuhifadhi Wosia  baada  ya kuona   changamoto ni nyingi katika  usimamizi wa mirathi ambazo marehemu hakuacha wosia hivyo mirathi hizo huchukua muda mrefu kumalizika na kuchelewesha haki na usawa kwa warithi halali wa marehemu hasa mwanamke na watoto.
*Mwanamke ni nguzo imara katika familia hivyo nguzo hiyo inapokosa pahali pa kusimamia huanguka kirahisi na hata kuathiri familia kwa kiasi kikubwa. Hatahivyo kumekuwa na changamoto nyingi za kuwepo kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wapinzani wa Pinda jengeni hoja

WAJUZI wa kisiasa wanaamini kwamba hoja inajengwa kwa mtu kujenga hoja. Ndio maana hata usemi wa Kiingereza unasisitiza katika hilo kwamba; kama huna utafiti wa kutosha juu ya jambo fulani,...

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda atamani sheria ya wosia

Mizengo-PindaJonas Mushi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema kuna haja ya kuwa na sheria itakayowezesha uandikishaji wosia kuwa wa lazima ili kuondokana na migogoro ya kugombania mali za marehemu na unyanyasaji wa wajane na watoto.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, katika maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na uzinduzi wa kampeni ya uandishi wa wosia.
Alisema migogoro hiyo kwa kiasi kikubwa inaathiri wanawake na watoto pindi wazazi...

 

10 years ago

Michuzi

JE WAJUA KUWA WOSIA WA MANENO NI WOSIA HALALI KISHERIA?

Wosia ni jambo kati  ya  mambo  ambayo huwasumbua watu  wengi. Sababu ya kuwasumbua  wengi  ni  lile  lile tu  kuwa  ufahamu  wa  mambo ya sheria haujawa wa kutosha  katika jamii. Tatizo la wosia limepelekea magomvi  makubwa  ya kifamlia hasa wakati  wa  misiba au baada ya misiba. Pia  wakati  mwingine ni tatizo  hili hili ambalo  limewafanya baadhi ya  watu tena ndugu  kugombea maiti. Kama watu wanaelewa vyema  habari ya wosia  na  haki  za  kila mtu katika  wosia  sioni  haja  ya  ndugu...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Jengeni utamaduni wa usafi

Rais John Magufuli jana aliwaongoza  Watanzania kufanya usafi na kuwataka kujenga utamaduni wa kudumisha utamaduni huo mara kwa mara.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete- Jengeni hoja uraia pacha

RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania waishio nje ya nchi na wanaotaka kuona Tanzania inakubali kuanzisha mfumo wa uraia pacha, kutumia muda wao kujenga hoja za jambo hilo badala ya kupoteza muda kwenye mijadala ya blogu na kulaumu watu wengine.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkirudi bungeni, jengeni hoja zilizokwenda shule

Bunge Maalumu la Katiba limepumzika kwa muda wa angalau miezi mitatu, nasi Watanzania wafuatiliaji wa Bunge hilo tumepumzika na matusi, angalau masikio yetu yatapumua kidogo.

 

9 years ago

Michuzi

JENGENI IMANI NA CCM KWA MAENDELEO ZAIDI - JIMSONI MHAGAMA

 Katibu  wa CCM wilaya ya  Mufindi, Jimsoni Mhagama  KATIBU wa CCM wa wilaya ya Mufindi Bw. Jimson Mhagama amesema kuwa chama  cha mapinduzi (CCM ) kitaendelea  kuongoza kwa kuzingatia uadilifu, , amani, upendo, utulivu na kuleta maendeleo kwa wananchi wake  hivyo  kuwataka  wananchi kuchagua cheni nyenye msimamo wa kuwa na diwani, mbunge na rais wa CCM ili  kuendelea  kuwaletea maendeleo .Bw. Mhagama aliitoa kauli  hiyo  jana alipokuwa akihutubia wananchi katika mkutano  wa  kampeni za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani