Pinda: Sheria ya takwimu imeridhiwa Afrika
NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema muswada wa sheria mpya ya takwimu umefuata makubaliano ya nchi za Afrika na duniani kuhusu utengenezaji na usambazaji wa takwimu.
Pinda aliyasema hayo jana mara baada ya kufungua kongamano lililolenga kutoa elimu kwa wakuu wa ofisi za takwimu wa nchi za Afrika zinazozungumza Kiingereza juu ya uongozi na usimamizi.
Alisema lengo la sheria hiyo ambayo inasubiri kusainiwa na Rais Jakaya Kikwete ili kuanza kutumika, ni kutekeleza...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SHERIA MPYA YA TAKWIMU KUONGEZA UFANISI WA SHUGHULI ZA KITAFITI NA UPATIKANAJI WA TAKWIMU SAHIHI NCHINI
10 years ago
Michuzi
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU KUADHIMISHA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA KESHO


10 years ago
Michuzi
WATAALAM WA TAKWIMU KUTOKA OFISI ZA TAKWIMU BARANI AFRIKA


10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Maadhimisho ya siku ya Takwimu Afrika yafanyika Jijini Dar, Serikali yasisitiza uwazi katika Takwimu
Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Yussuf Mzee akifungua maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam na kuwashirikisha wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi chini ya kauli mbiu isemayo “Takwimu Huria kwa uwajibikaji na ushirikishwaji wa wadau wote”.
Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es salaam
SERIKALI kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa itaendelea kuwapatia wananchi takwimu sahihi zinazohusu sekta mbalimbali ili kuwajengea...
9 years ago
Michuzi
CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA CHAFANYA MAHAFALI YA KWANZA YA SHAHADA YA TAKWIMU RASMI
10 years ago
Michuzi
CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA KUTILIANA SAINI YA MKATABA WA MAKUBALIANO YA MAFUNZO YA WATALAAM WA TAKWIMU NA CHUO CHA TAKWIMU CHA INDIA


10 years ago
Michuzi
MAADHIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, SERIKALI YASISITIZA UWAZI KATIKA TAKWIMU


10 years ago
Vijimambo
MAADIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, SERIKALI YASISITIZA UWAZI KATIKA TAKWIMU.



10 years ago
Mtanzania21 May
‘Sheria ya Takwimu haiwazuii watafiti’
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MKURUGENZI Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk. Albina Chuwa, amesema Sheria mpya ya Takwimu ya Mwaka 2015 haina lengo la kuzuia taasisi au watu binafsi kufanya utafiti wao nchini ila inalenga kuweka misingi imara ya shughuli za takwimu na utafiti.
Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana alipotoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu kutungwa sheria hiyo mpya na Bunge Machi mwaka huu.
Dk. Chuwa alisema kuanzishwa kwa sheria hiyo kunalenga kutoa...