Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Sheria ya Takwimu haiwazuii watafiti’

NBS - 1Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

MKURUGENZI Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk. Albina Chuwa, amesema Sheria mpya ya Takwimu ya Mwaka 2015 haina lengo la kuzuia taasisi au watu binafsi kufanya utafiti wao nchini ila inalenga kuweka misingi imara ya shughuli za takwimu na utafiti.

Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana alipotoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu kutungwa sheria hiyo mpya na Bunge Machi mwaka huu.

Dk. Chuwa alisema kuanzishwa kwa sheria hiyo kunalenga kutoa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Takwimu zote za watafiti sasa kuratibiwa na NBS

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk Albina Chuwa amefafanua kuwa Sheria ya Takwimu haitayazuia mashirika wala watu binafsi kufanya tafiti na kukusanya takwimu, isipokuwa watatakiwa kuhakikisha takwimu zao zinaratibiwa na ofisi yake kabla ya kuzitoa.

 

10 years ago

GPL

SHERIA MPYA YA TAKWIMU KUONGEZA UFANISI WA SHUGHULI ZA KITAFITI NA UPATIKANAJI WA TAKWIMU SAHIHI NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu ujio wa sheria mpya ya Takwimu  ya mwaka 2015 iliyopitishwa na Bunge Mwezi Machi mwaka huu leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi hiyo Bw. Morrice Oyuke.…

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Sheria ya takwimu imeridhiwa Afrika

Waziri-Mkuu-wa-Tanzania-Mizengo-Pinda1NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema muswada wa sheria mpya ya takwimu umefuata makubaliano ya nchi za Afrika na duniani kuhusu utengenezaji na usambazaji wa takwimu.
Pinda aliyasema hayo jana mara baada ya kufungua kongamano lililolenga kutoa elimu kwa wakuu wa ofisi za takwimu wa nchi za Afrika zinazozungumza Kiingereza juu ya uongozi na usimamizi.
Alisema lengo la sheria hiyo ambayo inasubiri kusainiwa na Rais Jakaya Kikwete ili kuanza kutumika, ni kutekeleza...

 

10 years ago

Mwananchi

Upinzani wahofia muswada wa sheria ya takwimu

Serikali imeuondoa kwa muda Muswada wa Takwimu uliowasilishwa bungeni jana ikitaka iuufanyie marekebisho.

 

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU DAR WAJADILI SHERIA YA TAKWIMU, MAKOSA YA MITANDAONI

Viongozi waliokuwa wakiendesha mdahalo huo wakiwa meza kuu. Dr. Kitila Mkumbo akichangia mdahalo huo.…

 

10 years ago

Michuzi

CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA KUTILIANA SAINI YA MKATABA WA MAKUBALIANO YA MAFUNZO YA WATALAAM WA TAKWIMU NA CHUO CHA TAKWIMU CHA INDIA

Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akimwelezea Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal kuhusu chumba cha kompyuta kilichopo chuoni hapo wakati wa kuangalia maadalizi ya kutiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Mafunzo ya Watalaam wa Takwimu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika na Chuo cha Takwimu cha nchini India utakaosainiwa tarehe 28 Machi, 2015. Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal akiangalia vitabu mbalimbali vilivyopo...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU KUADHIMISHA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA KESHO

 Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephrahim Kwesigabo, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu Siku ya Takwimu Afrika itakayo adhimishwa Dar es Salaam kesho. Kulia ni Mtakwimu Mkuu, Adella Ndesengia. Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephrahim Kwesigabo, akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari  uliofanyika leo jijini Dar es Salaam kuhusu Siku ya Takwimu Afrika...

 

11 years ago

GPL

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAWASILISHA MPANGO MKAKATI WA TAKWIMU ZA KILIMO KWA WADAU.

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Morrice Oyuke  akizungumza na wadau mbalimbali  wakati wa kujadili Mpango Mkakati wa Takwimu za Kilimo leo jijini Dar es salaam. Mpango huo utaiwezesha Ofisi ya Taifa ya Takwimu kukusanya takwimu sahihi zinazokidhi viwango vya ndani na vile vya kimataifa.
Mwakilishi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO) nchini Tanzania Bi. Diana Tampelman  akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

WATAALAM WA TAKWIMU KUTOKA OFISI ZA TAKWIMU BARANI AFRIKA

Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afrika Kusini Risenga Maluleke akizungumza leo na waandishi wa habari kuhusu madhumuni ya mkutano wa watalaam wa takwimu kutoka nchi mbalimbali barani Afrika ambapo wamekutana kujadili Mfumo wa Uongozi Bora katika Ofisi za Takwimu pamoja na Uboreshaji wa Mitaala ya Ufundishaji wa Masomo ya Takwimu. Mkutano huo ni wa siku tano na unafanyika katika hoteli ya Golden Tulip iliyopo Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani