Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Takwimu zote za watafiti sasa kuratibiwa na NBS

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk Albina Chuwa amefafanua kuwa Sheria ya Takwimu haitayazuia mashirika wala watu binafsi kufanya tafiti na kukusanya takwimu, isipokuwa watatakiwa kuhakikisha takwimu zao zinaratibiwa na ofisi yake kabla ya kuzitoa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

‘Sheria ya Takwimu haiwazuii watafiti’

NBS - 1Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

MKURUGENZI Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk. Albina Chuwa, amesema Sheria mpya ya Takwimu ya Mwaka 2015 haina lengo la kuzuia taasisi au watu binafsi kufanya utafiti wao nchini ila inalenga kuweka misingi imara ya shughuli za takwimu na utafiti.

Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana alipotoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu kutungwa sheria hiyo mpya na Bunge Machi mwaka huu.

Dk. Chuwa alisema kuanzishwa kwa sheria hiyo kunalenga kutoa...

 

10 years ago

Habarileo

Taasisi zashauriwa kutumia takwimu za NBS

TAASISI zinazotumia takwimu zimeshauriwa kutumia takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa maelezo kuwa ndio taasisi pekee inayozalisha takwimu za kweli ambazo zinafaa kwa mipango ya maendeleo.

 

10 years ago

Michuzi

NBS YASISITIZA MATUMIZI YA KANZA (DATA BASE) YA TAKWIMU ZA KILIMO

Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali wa ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Gabriel Madebe akifungua semina ya wadau ya uhamasishaji wa matumizi takwimu za kilimo zinazopatikana kupitia Kanzi rasmi ya takwimu za kilimo inayopatikana katika anwani ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya www.nbs.go.tz leo jijini Dar es salaam. Mwakilishi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO) Bi. Julia Stone akizungumza na wadau mbalimbali wakati wa semina ya uhamasishaji wa matumizi ya Kanzi ya takwimu za Kilimo nchini...

 

10 years ago

GPL

NBS YASISITIZA MATUMIZI YA KANZI (DATA BASE) YA TAKWIMU ZA KILIMO

Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali wa ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Gabriel Madebe akifungua semina ya wadau ya uhamasishaji  wa matumizi takwimu za kilimo zinazopatikana kupitia Kanzi rasmi ya takwimu za kilimo inayopatikana katika  anwani ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya leo jijini Dar es salaam. Mwakilishi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO) Bi. Julia Stone… ...

 

10 years ago

Michuzi

RITA na NBS kufanya tathmini ya mfumo wa usajili wa matukio muhimu ya maisha na ukusanyaji wa takwimu nchini

Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) itafanya tathmini ya mfumo wa usajili wa matukio muhimu ya maisha na ukusanyaji wa takwimu nchini.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA,Bw. Phillip Saliboko  alisema Tathimini hiyo itafanyika kikanda kwa siku 15 kuanzia tarehe Septemba 15 - 30, 2014 na kujumuisha wadau wakubwa wa mambo ya usajili kutoka kwenye baadhi ya...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) YASEMA PATO LA TAIFA LIMEONGEZA KWA ASILIMIA 7.9

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morrice Oyuke akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juu ya pato la Taifa kutokana na shughuli za Uchimbaji Madini, Mawe na Kokoto ziliongezeka kwa kasi ya asilimia 8.3 katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2015 ikilinganishwa na kasi ya ukuaji wa asilimia 6.4 katika kipindi kama hicho mwaka 2014. Kushoto ni Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa Daniel Masolwa.Waandishi wa habari wakimsiliza...

 

9 years ago

Vijimambo

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) YASEMA PATO LA TAIFA LIMEONGEZA KWA AILIMIA 7.9

 Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Morrice Oyuke (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa za pato la taifa robo ya pili ya mwaka kuanzia mwezi Aprili hadi Juni 2015. Kushoto ni Meneja Takwimu za Pato la Taifa, Daniel Masolwa. Mkutano na waandishi wa habari ukiendelea.
 Waandishi wa habari wakichukua taarifa hiyo.Wapiga picha wakichukua picha katika mkutano huo.

Na Dotto MwaibaleOFISI ya Taifa ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Halmashauri zote sasa kubanwa

Halmashauri zote nchini zimetakiwa kutenga bajeti ya mwaka huu ya asilimia 60 ya makusanyo yake ya ndani kutekeleza miradi ya maendeleo kwa wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Taaluma zote sasa zimekuwa harijojo?

HIVI ni taaluma gani sasa imebaki na heshima zake enyi waja wa Mola? Kila mahali naona sasa kuna vihoja na mahoka. Kama siasa ni taaluma, basi huko ndiko  kulishaharibika tangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani