Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri zote sasa kubanwa

Halmashauri zote nchini zimetakiwa kutenga bajeti ya mwaka huu ya asilimia 60 ya makusanyo yake ya ndani kutekeleza miradi ya maendeleo kwa wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

HALMASHAURI YA MJI KONDOA KUTOA CHANJO ZOTE KWA MIFUGO


Idara ya Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji Kondoa imejipankuendelea kutoa chanjo ya magonjwa ya Mifugo kulingana na kalenda ya chanjo inavyoonyesha kwa mwaka mzima.
Hayo yalibainishwa na Afisa Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri ya Mji Bi. Monica Kimario wakati wa utoaji wa chanjo ya ugonjwa wa Kimeta na Chambavu kwa mifugo ya kata ya Kingale.
“Nawasihi sana wafugaji wa Kata ya Kingale washiriki katika zoezi hili kwa kuleta mifugo yao katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya utoaji wa chanjo...

 

11 years ago

Michuzi

Halmashauri zote nchini zatakiwa kutenga asilimia 5 ya mapato kwa ajili ya shughuli za vijana

Halmashauri zote nchini zinawajibika kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za maendeleo ya vijana pamoja na kuwatengea vijana asilimia 5 ya mapato ya halmashauri husika kwa ajili ya kuwezesha shughuli hizo.
Hayo yamesemwa jana ( leo) Mkoani Dodoma Wilaya ya Nchemba na Afisa Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Amina Sanga katika mafunzo ya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuhusu mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
Bi. Amina alisema kuwa vijana ndiyo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgawanyo na uuteuzi wa Madiwani Wanawake viti maalum Halmashauri zote Tanzania Bara, 2015!

Nec

 

MAJINA YA MADIWANI WANAWAKE VITI MAALUM TANZANIA BARA 2015

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Ummy Mwalimu azitaka Halmashauri zote nchini kutoa elimu kwa wananchi juu ya utunzaji wa mazingira

Halmashauri zote Nchini zimetakiwa kuendelea kuhamasisha na kutoa Elimu kwa Wananchi juu ya utunzaji wa mazingira na pia kuimarisha miundombinu ya masoko ambayo ni mibovu na ya kizamani.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu wakati alipofanya ziara ya kutembelea masoko ya manispaa za Temeke na Ilala za jijini Dar es Salaam.
Amekumbushia pia kila Manispaa kuzingatia agizo la Makamu wa Rais la kufanya usafi kila jumamosi ya mwanzo wa mwezi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Taaluma zote sasa zimekuwa harijojo?

HIVI ni taaluma gani sasa imebaki na heshima zake enyi waja wa Mola? Kila mahali naona sasa kuna vihoja na mahoka. Kama siasa ni taaluma, basi huko ndiko  kulishaharibika tangu...

 

10 years ago

Mwananchi

Takwimu zote za watafiti sasa kuratibiwa na NBS

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk Albina Chuwa amefafanua kuwa Sheria ya Takwimu haitayazuia mashirika wala watu binafsi kufanya tafiti na kukusanya takwimu, isipokuwa watatakiwa kuhakikisha takwimu zao zinaratibiwa na ofisi yake kabla ya kuzitoa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

AZAM FC: Nguvu zote sasa vita ya ubingwa

HUWEZI kutaja timu nne bora za soka nchini bila Azam FC ambayo kutokana na soka yake ya uhakika, wamejizolea sifa kubwa sio tu katika Ligi Kuu Tanzania Bara, pia katika...

 

5 years ago

Michuzi

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO SASA WAHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO

MKUTANO wa siku tatu uliokuwa unafanyika kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro umemalizika leo Machi 26 mwaka huu wa 2020 kwa mafanikio makubwa.

Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imeeleza mkutano huo wa siku tatu ulikuwa ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala na moja ya majadiliano yalikuwa ni kuangalia utaratibu wa Usimamizi wa fedha zinazotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa ajili ya Baraza la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani