Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgawanyo na uuteuzi wa Madiwani Wanawake viti maalum Halmashauri zote Tanzania Bara, 2015!

Nec

 

MAJINA YA MADIWANI WANAWAKE VITI MAALUM TANZANIA BARA 2015

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Baraza la madiwani Wilaya ya Arusha mjini lakutana kujadili bajet ya halmashauri hiyo kwa mwaka 2015/16

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi,Goodluck Ole Medeye akifafanua jambo katika kikao cha Baraza la madiwani kilichojadili bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha mjini kwa mwaka 2015/2016 ambapo kiasi cha shilingi bilioni 42.7 zimetengwa kusaidia upatikanaji wa huduma za maji,afya na elimu kama vipaumbele vikuu.Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Arusha,Fidelis Lumato,Mwenyekiti wa Halmashauri Saimon Saning`o na kaimu Mwenyekiti Anna Agatha Msuya.Kikao hicho kilifanyika...

 

9 years ago

StarTV

Mgawanyo Wa Mali, Watumishi Madiwani Ulanga na Malinyi wavutana

 

Mvutano mkali umezuka baina ya madiwani wa Halmashauri ya Ulanga na wale wa Halmashauri mpya ya Malinyi baada ya Madiwani wa Malinyi kutaka kupewa muongozo na kufahamishwa juu ya mgawanyo wa mali na watumishi utakaofanyika katika halmashauri hizo.

Mjadala huo umetokea mara baada ya mkurungezi wa Ulanga kusoma taarifa ya utekelezaji wa kipindi cha miezi sita ambacho madiwani hao hawakuwepo ndipo wakaanza kuhoji ni kwa nini hakuna taarifa ya mgawanyo huo hatua iliyomlazimu mkuu wa Mkoa...

 

10 years ago

Habarileo

Mgawanyo wa halmashauri kuzaa majimbo ya uchaguzi

WILAYA ya Kahama huenda ikapata jimbo jipya la uchaguzi kutokana na kuonekana kuna mwingiliano na utata mkubwa katika usimamizi wa uchaguzi katika baadhi ya kata baada ya kugawanywa kwa halmashauri tatu hivi karibuni ndani ya majimbo mawili ya uchaguzi.

 

11 years ago

Habarileo

Washawishi wanawake Bunge Maalum kugombea uchaguzi 2015

Profesa Ruth MeenaWAJUMBE wateule wanawake wa Bunge Maalumu wameanza kuandaliwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu ujao kutokana na ushawishi ulioanza kufanyika.

 

11 years ago

Michuzi

Wajumbe Bunge Maalum kupigania usawa na mgawanyo wa rasilimali

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Fedrick Msigala akizungumza na wanahabari mara baada ya Mkutano wao na Mtandao wa Wanawake na Katiba uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Fredrick Msigala akizungumza na wanahabari mara baada ya Mkutano wao na Mtandao wa Wanawake na Katiba uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akiongoza majadiliano katika Mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mtandao wa Wanawake na Katiba. Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akiongoza majadiliano katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani