NEC YATANGAZA MGAWANYO WA VITI MAALUM BUNGENI
![](http://img.youtube.com/vi/vP93YqC3k9o/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Mgawanyo na uuteuzi wa Madiwani Wanawake viti maalum Halmashauri zote Tanzania Bara, 2015!
MAJINA YA MADIWANI WANAWAKE VITI MAALUM TANZANIA BARA 2015
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
NEC yatangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu!
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu pamoja na vyama wanavyotokea.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima ametaja idadi ya madiwani hao kuwa 1402 na kuwataja madiwani 1392 huku 15 wakisubiri chaguzi zimalizike katika kata zilizosalia.
Amesema katika madiwani hao CCM ni 1122, Chadema 220, CUF 49, NCCR 6 na ACT 6.
Kailima ameongeza kuwa kata...
9 years ago
MichuziNEC YATANGAZA VITI VYA MADIWANI WATEULE1393
9 years ago
StarTV07 Nov
NEC yatangaza idadi ya uteuzi wa viti maalumuCCM, CHADEMA, CUF
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza idadi ya jumla ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu kutoka vyama vya siasa vya CCM, CHADEMA na CUF. Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu mkurugenzi wa uchaguzi Emmanuel Kawishe alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Ibara ya 66 kifungu cha kwanza b na ibara ya 78 ya katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa kwa pamoja na kifungu cha 86 A cha sheria ya uchaguzi sura ya 343, Tume imepewa...
9 years ago
Michuzi07 Nov
11 years ago
Michuzi26 Jul
Wajumbe Bunge Maalum kupigania usawa na mgawanyo wa rasilimali
![Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Fedrick Msigala akizungumza na wanahabari mara baada ya Mkutano wao na Mtandao wa Wanawake na Katiba uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0835.jpg)
![Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0814.jpg)
![Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akiongoza majadiliano katika Mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mtandao wa Wanawake na Katiba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0792.jpg)
9 years ago
GPL![](https://4.bp.blogspot.com/-csSApYSCG_E/Vj0AJxi9phI/AAAAAAAAMgw/CfQCRZ7Ew2E/s640/3.jpg?width=650)
9 years ago
GPL9 years ago
MichuziVITI MAALUM 110 VYATANGAZWA LEO