NEC YATANGAZA VITI VYA MADIWANI WATEULE1393
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Bw. Kailima Ramadhani akizugumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya viti maalumu vya Udiwani ambavyo Madiwani wake wameteuliwa na Tume hiyo ni viti 1393, kutoka katika Vyama vya CCM,CHADEMA,NSSR-MAGEUZI pamoja na CUF.Mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam ,Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Huduma za Sheria wa NEC Emmanuel Kawishe.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Bw. Kailima...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
NEC yatangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu!
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu pamoja na vyama wanavyotokea.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima ametaja idadi ya madiwani hao kuwa 1402 na kuwataja madiwani 1392 huku 15 wakisubiri chaguzi zimalizike katika kata zilizosalia.
Amesema katika madiwani hao CCM ni 1122, Chadema 220, CUF 49, NCCR 6 na ACT 6.
Kailima ameongeza kuwa kata...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/vP93YqC3k9o/default.jpg)
9 years ago
StarTV07 Nov
NEC yatangaza idadi ya uteuzi wa viti maalumuCCM, CHADEMA, CUF
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza idadi ya jumla ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu kutoka vyama vya siasa vya CCM, CHADEMA na CUF. Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu mkurugenzi wa uchaguzi Emmanuel Kawishe alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Ibara ya 66 kifungu cha kwanza b na ibara ya 78 ya katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa kwa pamoja na kifungu cha 86 A cha sheria ya uchaguzi sura ya 343, Tume imepewa...
9 years ago
GPL9 years ago
Mwananchi13 Nov
Vyama vitano vyagawana madiwani viti maalumu
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Mgawanyo na uuteuzi wa Madiwani Wanawake viti maalum Halmashauri zote Tanzania Bara, 2015!
MAJINA YA MADIWANI WANAWAKE VITI MAALUM TANZANIA BARA 2015
9 years ago
Habarileo18 Nov
Hatujachakachua majina ya wabunge viti maalumu -NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema majina ya wabunge wa Viti Maalumu iliyoyapitisha hayajachakachuliwa bali yamepitishwa kulingana na orodha ya vyama vya siasa vilivyowasilisha majina hayo.
9 years ago
Michuzi07 Nov
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPwp5aKjOxMuL1MFPgklQfF2-c0xEW1kOcTMwKaBEzJ8XiELkMW7AQk2Y*DVB6j4x2WAjZp6SYR7jxOtAWuIWQfC/NEC_BANNER2.gif?width=640)
NEC YATANGAZA UCHAGUZI KATA 27