OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) YASEMA PATO LA TAIFA LIMEONGEZA KWA ASILIMIA 7.9
Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morrice Oyuke akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juu ya pato la Taifa kutokana na shughuli za Uchimbaji Madini, Mawe na Kokoto ziliongezeka kwa kasi ya asilimia 8.3 katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2015 ikilinganishwa na kasi ya ukuaji wa asilimia 6.4 katika kipindi kama hicho mwaka 2014. Kushoto ni Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa Daniel Masolwa.Waandishi wa habari wakimsiliza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) YASEMA PATO LA TAIFA LIMEONGEZA KWA AILIMIA 7.9
Waandishi wa habari wakichukua taarifa hiyo.Wapiga picha wakichukua picha katika mkutano huo.
Na Dotto MwaibaleOFISI ya Taifa ya...
10 years ago
GPLOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI JANUARI, 2015 UMEENDELEA KUPUNGUA KWA ASILIMIA 4.0
10 years ago
GPLOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA HUDUMA NA BIDHAA WAPANDA KWA ASILIMIA 4.5
9 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MATOKEO YA TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA KWA ROBO MWAKA YA KWANZA YA MWAKA 2015
9 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI UMESHUKA KUFIKIA ASILIMIA 6.1
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema mfumuko wa bei...
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Ofisi ya Taifa ya Takwimu yasema mfumuko wa bei umeshuka kufikia asilimia 6.1
Taarifa ikichuliwa na wanahabari.
Mwanahabari Hilda kutoka gazeti la Daily News akichukua taarifa hiyo kwa umakini zaidi.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Na Dotto...
10 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA PATO LA TAIFA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA,JANUARY-MACHI 2014
Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morrice Oyuke (wa tatu kushoto), akiwa na wadau wa uchumi katika mkutano huo. Kutoka kushoto...
10 years ago
Dewji Blog21 Dec
Serikali yazindua rasmi usambazaji takwimu za pato la taifa, pato la mwanachi laongezeka
Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 jijini Dar es salaam.
Na Aron Msigwa – MAELEZO
Serikali imesema kuwa Pato la Taifa kwa mwaka 2007 limeongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 26.8 ikilinganishwa na trilioni 20.9 za mwaka 2001, ambapo wastani wa pato la mwananchi mmoja mmoja limeongezeka kutoka shilingi milioni1,186,200/= mwaka 2001 hadi shilingi milioni 1, 561,050/= mwaka 2013.
Akizindua...
10 years ago
MichuziSERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA
BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI