Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RITA na NBS kufanya tathmini ya mfumo wa usajili wa matukio muhimu ya maisha na ukusanyaji wa takwimu nchini

Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) itafanya tathmini ya mfumo wa usajili wa matukio muhimu ya maisha na ukusanyaji wa takwimu nchini.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA,Bw. Phillip Saliboko  alisema Tathimini hiyo itafanyika kikanda kwa siku 15 kuanzia tarehe Septemba 15 - 30, 2014 na kujumuisha wadau wakubwa wa mambo ya usajili kutoka kwenye baadhi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RITA NA NBS WAENDESHA MAFUNZO YATAKAYOWEZESHA KUFANYA TATHMINI YA KINA YA MATUKIO MUHIMU YA MWANADAMU.

 Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Bw. Eliya Ntandu akifungua mafunzo ya siku sita ya maofisa watakaoshiriki katika Tathmini ya kina ya Matukio Muhimu ya Mwanadamu. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu wa NBS, Bi Aldegunda Komba, Mkurugenzi Mkuu wa NBS, Dk. Albina Chuwa, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Bi Emmy Hudson na Kamishna wa Sensa, Hajjat Amina Mrisho Said.

 Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Bi. Emmy Hudson akitoa maelezo kuhusu ushiriki wa RITA katika tathmini.

 

9 years ago

Michuzi

MFUMO MPYA WA USAJILI NA UHIFADHI WA TAKWIMU ZA MATUKIO MUHIMU YA BINADAMU KUANZISHWA TANZANIA BARA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Maimuna Tarishi akitoa hatuba ya ufunguzi rasmi wa kikao cha wadau wa Usajili na Utunzanji wa Takwimu za Matukio Muhimu ya Binadamu nchini kilichofanyika katika ukumbi wa hoteli ya New Africa, Dar es Salaam. Mtakwimu Mkuu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Emilian Karugendo, akifafanua jambo wakati wa uwasilishaji wa mada iliyohusiana na hatua za kuandaa Mkakati wa Usajili na Uhifadhi wa Takwimu za Matukio Muhimu ya Binadamu wakati wa kikao cha wadau...

 

9 years ago

GPL

TAASISI YA BILL NA MELINDA GATE YAANGALIA UWEZEKANO WA KUSAIDIA UKUSANYAJI WA TAKWIMU ZA KILIMO NCHINI TANZANIA

Afisa Mwandamizi anayeshughulikia Sera na maendeleo ya kilimo kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Bill na Melinda Gates Bw. Stanley Wood akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam mara baada ya kufanyika kwa kikao cha mazungumzo na viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) nchini Tanzania kuangalia uwezekano wa taasisi hiyo kusaidia miradi ya ukusanyaji wa Takwimu za kilimo nchini Tanzania.Kushoto kwake ni Mratibu wa...

 

9 years ago

Michuzi

TAASISI YA BILL NA MELINDA GATE YAANGALIA UWEZEKANO WA KUSAIDIA UKUSANYAJI WA TAKWIMU ZA KILIMO NCHINI TANZANIA.


Afisa Mwandamizi anayeshughulikia Sera na maendeleo ya kilimo kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Bill na Melinda Gates Bw. Stanley Wood akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam mara baada ya kufanyika kwa kikao cha mazungumzo na viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) nchini Tanzania kuangalia uwezekano wa taasisi hiyo kusaidia miradi ya ukusanyaji wa Takwimu za kilimo nchini Tanzania.Kushoto kwake ni Mratibu wa miradi wa Taasisi hiyo Bi.Bhramar Dey. Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya...

 

10 years ago

Daily News

RITA, NBS for regular updates of statistics


Daily News
RITA, NBS for regular updates of statistics
Daily News
THE comprehensive assessment on civil registration and vital statistics to be implemented for the first time in the country between September 15 and 30 this year will ease availability of precise data for various development programmes, Morogoro Regional ...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA MAFUNZO YALIYOANDALIWA NA RITA NA NBS.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Angellah Kairuki Jana alifungua mafunzo yaliyoandaliwa na Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa ajili ya kuwajengea uwezo Maofisa wa Serikali watakaoshiriki Kuandaa Mpango Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kuboresha Mfumo wa Usajili na Upatikanaji wa Takwimu zake Nchini.
Mhe. Kairuki amewataka washiriki wa mafunzo hayo kuzingatia maelekezo ya Wakufunzi kwa makini ili waweze kuandaa mpango...

 

10 years ago

Habarileo

Taasisi zashauriwa kutumia takwimu za NBS

TAASISI zinazotumia takwimu zimeshauriwa kutumia takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa maelezo kuwa ndio taasisi pekee inayozalisha takwimu za kweli ambazo zinafaa kwa mipango ya maendeleo.

 

10 years ago

Mwananchi

Takwimu zote za watafiti sasa kuratibiwa na NBS

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk Albina Chuwa amefafanua kuwa Sheria ya Takwimu haitayazuia mashirika wala watu binafsi kufanya tafiti na kukusanya takwimu, isipokuwa watatakiwa kuhakikisha takwimu zao zinaratibiwa na ofisi yake kabla ya kuzitoa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukusanyaji wa takwimu za HIV wapingwa

Wakereketwa wa haki za kibinadamu Kenya wamepinga mpango wa Serikali wa kukusanya takwimu za watoto wanaougua viini vya HIV.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani