Brazil:Luiz Felipe Scolari aacha kazi
Kocha wa timu ya taifa ya Brazil,Luiz Felipe Scolari, ameacha kazi kama meneja wa timu hiyo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM09 Jul
KOCHA WA BRAZIL,LUIZ FELIPE SCOLARI AFUNGUKA BAADA YA KIPIGO CHA MABAO 7 KWA 1 DHDI YA UJERUMANI
"Ni wakati mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kazi yangu ya ukocha na siku mbaya zaidi katika maisha yangu ya soka. Lakini maisha yanaendelea. Nani anawajibika kwa matokeo haya? Ni mimi, ni mimi. Lawama za matokeo haya mabaya zinaweza kutuhusisha wote, lakini mtu aliyeamua timu ya kucheza na mbinu nilikuwa mimi,alisema kocha huyo.
Lilikuwa chaguo langu. Tulijitahidi kufanya kila tuwezalo, tulicheza kwa kiwango chetu cha mwisho-lakini tumeishia dhidi ya timu kubwa ya Ujerumani. Hatukukata tamaa...
11 years ago
GPL
KOCHA WA BRAZIL FELIPE SCOLARI AACHIA NGAZI
11 years ago
TheCitizen24 Jun
Scolari angry at claims Brazil can ‘choose’ next opponents
11 years ago
GPL
DUNGA ACHUKUA MIKOBA YA SCOLARI KUINOA BRAZIL
11 years ago
Mwananchi14 Jul
BRAZIL 2014: Vigogo wa soka Rio wamtema Scolari
11 years ago
TheCitizen14 Jul
BRAZIL 2014: Rio soccer bosses ditch ‘inelegant’ Scolari
10 years ago
Africanjam.Com
WATOTO WA BRAZIL WENYE MWONEKANO KAMA WA DAVID LUIZ NA THIAGO SILVA..

David Luiz na Thiago Silva ambao wakua marafiki tangu wapo wadogo hadi leo wamekua wachezaji wakubwa, sasa hawa watoto wawili ni kivutio kikubwa sana tangu mwaka jana wakati wa World Cup.
Siku ya mechi ya Mexico Vs Brazil ambapo Brazil walishinda kwa 2-0 ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na mashindano ya Copa America. Kitu kilichovutia zaidi kwenye mechi hiyo ni watoto wawili ambao wanafanana sana na David na Thiago.
Majina yao ni Lyan na Murilo ambapo waliingia kama watoto wanaosindikiza...
11 years ago
TheCitizen10 Jul
BRAZIL 2014: Scolari to stay put till after #WorldCup despite calls to 'go to hell'
11 years ago
GPL
Pluijm aacha kazi Yanga