WATOTO WA BRAZIL WENYE MWONEKANO KAMA WA DAVID LUIZ NA THIAGO SILVA..
David Luiz na Thiago Silva ambao wakua marafiki tangu wapo wadogo hadi leo wamekua wachezaji wakubwa, sasa hawa watoto wawili ni kivutio kikubwa sana tangu mwaka jana wakati wa World Cup.
Siku ya mechi ya Mexico Vs Brazil ambapo Brazil walishinda kwa 2-0 ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na mashindano ya Copa America. Kitu kilichovutia zaidi kwenye mechi hiyo ni watoto wawili ambao wanafanana sana na David na Thiago.
Majina yao ni Lyan na Murilo ambapo waliingia kama watoto wanaosindikiza...
africanjam.com
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jul
BRAZIL 2014: Brazil yakata rufaa kadi za njano za Thiago Silva
5 years ago
BBCSwahili10 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 10.06.2020: Sancho, Havertz, Aubameyang, James, Thiago Silva, Hojbjerg
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 06.06.2020: Havertz, Grealish, Chilwell, Thiago Silva, Sane, Aarons
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Zlatan Ibrahimovic anataka kuondoka PSG, kisa? nahodha wa PSG Thiago Silva kaamu hivi ….
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden ambaye ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa Sweden mara 10 Zlatan Ibrahimovic anataka kuondoka katika klabu yake ya Paris Saint Germain ya Ufaransa. Mshambuliaji huyo ambaye mkataba wake unamalizika mwezi June 2016 na anatajwa kutaka kuhama klabu hiyo. Sababu za Zlatan Ibrahimovic kutaka kuihama klabu ya PSG, ni kutokana na […]
The post Zlatan Ibrahimovic anataka kuondoka PSG, kisa? nahodha wa PSG Thiago Silva kaamu hivi …. appeared first on...
10 years ago
BBCSwahili22 May
David Luiz:'Nimewahi kushiriki ngono'
11 years ago
Bongo509 Jul
David Luiz: Sijui tutafanya nini ili tuwaone tena Wabrazil wakitabasamu!
10 years ago
Vijimambo17 Apr
BAADA YA BEKI WA PSG DAVID LUIZ KUPIGWA MATOBO JANA NA SUAREZ HIKI NDICHO KINACHOENDELEA JUU YAKE.
Standing tall or rooted to the ground? This web jokester likens Luiz to Paris's famous Eiffel Tower
This is just nuts! Luiz holds a superimposed jar of Nutella in front of a Parisian skyline in another meme
Luiz is spared in this one as the PSG badge takes centre stage
Familiar faces went head-to-head as ex-Chelsea defender Luiz met ex-Liverpool star Suarez - Keanu Reeves' Neo from the Matrix films had the words - in French no less - to say it all
11 years ago
BBCSwahili14 Jul
Brazil:Luiz Felipe Scolari aacha kazi