Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 06.06.2020: Havertz, Grealish, Chilwell, Thiago Silva, Sane, Aarons
Manchester United imeweka kipaumbele katika usajili wa nahodha wa Aston Villa Jack Grealish, 24, msimu huu - lakina inaweza kubadili mipango yake ikiwa mchezaji Kai Havertz wa klabu ya Bayer Leverkusen atapatikana.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili10 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 10.06.2020: Sancho, Havertz, Aubameyang, James, Thiago Silva, Hojbjerg
Chelsea inaamini kwamba mshambuliaji wa Borussia Dortmund na England Jadon sancho , 20, atajiunga na Man United hivyobasi inamnyatia kiungo wa kati wa Bayer Leverkusen na Ujerumani Kai Havertz. (ESPN)
5 years ago
BBCSwahili13 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 13.02.2020: Ramsey, Fati, Chilwell, Soares, Schneiderlin, Havertz
Juventus iko tayari kumuuza Aaron Ramsey mwaka mmoja baada ya kumnunua kutoka Arsenal katika juhudi za kuokoa marupurupu ya £400,000
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 16.04.2020: Sane, Giroud, Havertz, Rojo, Lallana
Winga wa kimataifa wa Ujerumani na Manchester City Leroy Sane anakaribia kuhamia Bayern Munich kwa kiasi cha £70m.
5 years ago
BBCSwahili14 May
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 14.05.2020: Werner, Sane, Dembele, Bakayoko, Bellingham, Havertz
Bayern Munich wanatafakari kuwasilisha ofa ya zaidi ya £50m kumsajili winga wa Manchester City Leroy Sane
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 07.06.2020: Traore, Havertz, Van de Beek, Werner, Rabiot, Chilwell
Liverpool wameulizia kuhusu winga wa Uhispania na Wolves Adama Traore, 24.
5 years ago
BBCSwahili19 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 19.05.2020: Havertz, Higuain ,Martinez, Koulibaly, Silva, Lazaro
Wolves wameongeza mkataba wa mlinda mlango wa kiingereza John Ruddy,33, kwa mwaka mmoja zaidi.
5 years ago
BBCSwahili15 Jun
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 15.06.2020: Grealish, Sancho, Aubameyang, Alonso, Havertz, Ndidi
Manchester United yakaza kamba zaidi kuhakikisha inamsajili kiungo wa kati Jack Grealish
5 years ago
BBCSwahili16 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 16.05.2020: Jesus, Sane, Kroos, Weghorst, Vinicius, Torreira
Real Madrid bado wana nia ya kumnunua Erling Braut Haaland na watamfuatilia mshambuliaji huyo wa miaka 19- leo Jumamosi wakati Borussia Dortmund watarejea uwanjani katika ligi kuu ya Ujerumani.
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 22.02.2020: Jota, Silva, Hodgson, Onana, Allegri, Sterling
Manchester United huenda ikamsajili mshambuliaji wa Wolves na Ureno Diogo Jota, 23. (Calciomercato) msimu ujao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania