Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 13.02.2020: Ramsey, Fati, Chilwell, Soares, Schneiderlin, Havertz
Juventus iko tayari kumuuza Aaron Ramsey mwaka mmoja baada ya kumnunua kutoka Arsenal katika juhudi za kuokoa marupurupu ya £400,000
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 06.06.2020: Havertz, Grealish, Chilwell, Thiago Silva, Sane, Aarons
Manchester United imeweka kipaumbele katika usajili wa nahodha wa Aston Villa Jack Grealish, 24, msimu huu - lakina inaweza kubadili mipango yake ikiwa mchezaji Kai Havertz wa klabu ya Bayer Leverkusen atapatikana.
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 07.06.2020: Traore, Havertz, Van de Beek, Werner, Rabiot, Chilwell
Liverpool wameulizia kuhusu winga wa Uhispania na Wolves Adama Traore, 24.
5 years ago
BBCSwahili24 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 24.06.2020: Arthur, Carvalho, Soares, Ferguson, McGhee
uventus imekubali dau la euro milioni 80 na Barcelona kumsaini mchezaji wa Brazil mwenye umri wa miaka 22 Arthur - lakini bado watalazimika kumshawishi kiungo huyo kujiunga nao. (Sky Sports)
5 years ago
BBCSwahili09 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 09.06.2020: Fati, Van de Beek, Gerson, Ngakia, Mkhitaryan
Manchester United ilifeli katika jaribio la kumnunua mchezaji wa Barcelona Ansu fati , 17 kwa dau la £89m baada ya kupoteza hamu ya kumsajili mshambuliaji wa England Jadon Sancho, 20. (Sport)
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 21.06.2020:Jimenez, Mane, Walker, Cavani, Bailey, Fati, Henderson
Juventus imeingia kwenye kinyang'anyiro sambamba na Manchaster United na Real Madrid wakitaka kupata saini ya mshambuliaji wa Mexico anayekipiga Wolves ,Raul Jimenez,29.
5 years ago
BBCSwahili05 Jun
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa tarehe 05.06.2020: Chilwell, Werner, Vertonghen, Longstaff
Beki wa kushoto wa England Ben Chilwell 23,anashawishiwa na kujiunga nan a Chelsea baadae msimu huu lakini bado hajaomba kuondoka Leicester City . (Mirror)
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 16.04.2020: Sane, Giroud, Havertz, Rojo, Lallana
Winga wa kimataifa wa Ujerumani na Manchester City Leroy Sane anakaribia kuhamia Bayern Munich kwa kiasi cha £70m.
5 years ago
BBCSwahili08 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 08.06.2020:Chilwell, Koulibaly, Martinez, Pjanic, Zaniolo, Rakitic
Manchester United na Real Madrid wanachunguza hali ya mshambuliaji wa Inter Milan na Argentina Lautaro Martinez, 22 baada ya mazungumzo ya kuhamia Barcelona kugonga mwamba. (Marca via Mirror)
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Tetesi za soka Ulaya Jumatano tarehe 03.06.2020: Chilwell, Pogba, Almada, Sancho, Lacazette
Chelsea wamemuweka mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Leicester Ben Chilwell,23, katika mpango wao wa uhamisho lakini inaweza kuwagharimu mpaka kiasi cha pauni milioni 85 kumnasa mchezaji huyo. (Athletic)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania