Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOCHA WA BRAZIL FELIPE SCOLARI AACHIA NGAZI

Luiz Felipe Scolari. KOCHA wa timu ya Taifa Brazil, Luiz Felipe Scolari ametangaza rasmi kuachia nafasi ya ukocha katika kikosi hicho baada ya matokeo mabaya katika michuano ya Kombe la Dunia 2014. Scolari amelaumiwa kwa kushindwa kuiongoza Brazil iliyoambulia nafasi ya nne katika muchuano hiyo iliyoandaliwa nyumbani kwao huku ikishuhudia kombe likienda kwa Ujerumani. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

KOCHA WA BRAZIL,LUIZ FELIPE SCOLARI AFUNGUKA BAADA YA KIPIGO CHA MABAO 7 KWA 1 DHDI YA UJERUMANI

"Ni wakati mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kazi yangu ya ukocha na siku mbaya zaidi katika maisha yangu ya soka. Lakini maisha yanaendelea. Nani anawajibika kwa matokeo haya? Ni mimi, ni mimi. Lawama za matokeo haya mabaya zinaweza kutuhusisha wote, lakini mtu aliyeamua timu ya kucheza na mbinu nilikuwa mimi,alisema kocha huyo.Lilikuwa chaguo langu. Tulijitahidi kufanya kila tuwezalo, tulicheza kwa kiwango chetu cha mwisho-lakini tumeishia dhidi ya timu kubwa ya Ujerumani. Hatukukata tamaa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Brazil:Luiz Felipe Scolari aacha kazi

Kocha wa timu ya taifa ya Brazil,Luiz Felipe Scolari, ameacha kazi kama meneja wa timu hiyo

 

10 years ago

Mwananchi

Muhongo aachia ngazi

Dakika 50 zilimtosha Profesa Sospeter Muhongo kujieleza kwa urefu wakati akitangaza uamuzi wake wa kujiuzulu uwaziri wa Nishati na Madini akisema “anataka nchi isonge mbele” baada ya kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi KCMC aachia ngazi

>Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dk Moshi Ntabaye, ameamua kubwaga manyanga huku watumishi wakiwa wamepoteza morali ya kufanya kazi katika hospitali hiyo kubwa na maarufu nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtawala aachia ngazi Simba

BAADA ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Simba, Evodius Mtawala kuikwaa nafasi ya Mkurugenzi wa Uanachama na Sheria ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ameachia ngazi Msimbazi. Mtawala ambaye ni mwanasheria...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mfalme wa Uhispania aachia ngazi

Mfalme wa Uhispania Juan Carlos ameachia mamlaka maka mfalme wa Uhispania baada ya kutawala tangu mwaka 1975

 

11 years ago

GPL

DUNGA ACHUKUA MIKOBA YA SCOLARI KUINOA BRAZIL

Kocha mpya wa Brazil, Dunga. Mchezaji wa zamani wa Brazil, Carlos Caetano Bledorn Verri 'Dunga', amepewa mikoba ya kukinoa kikosi cha Brazil baada ya kocha Luiz Felipe Scolari kujiuzulu. Dunga amepewa kikosi hicho kilichoboronga katika michuano ya Kombe la Dunia 2014 iliyofanyika nyumbani kwao huku timu hiyo ikiambulia nafasi ya nne. Kikosi hicho pia kilipata dhahama baada ya kipigo cha mabao 7-1 dhidi ya mabingwa wa kombe...

 

11 years ago

TheCitizen

Scolari angry at claims Brazil can ‘choose’ next opponents

Brazil coach Luiz Felipe Scolari on Sunday hit back at claims by Netherlands coach Louis van Gaal that Fifa have manipulated the World Cup schedule in the hosts’ favour.

 

10 years ago

Habarileo

Waziri afukuzwa, IGP aachia ngazi Kenya

Waziri wa Usalama aliyefukuzwa kazi, Joseph ole Lenku MBUNGE wa Kajiado ya Kati nchini Kenya, Joseph Nkaissery ameteuliwa kuwa Waziri wa Usalama wa Ndani wa nchi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani