Mfalme wa Uhispania aachia ngazi
Mfalme wa Uhispania Juan Carlos ameachia mamlaka maka mfalme wa Uhispania baada ya kutawala tangu mwaka 1975
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili07 Jan
Mwanawe mfalme mahakani uhispania
Mwanawe wa mwisho mfalme Juan Carlos wa Uhispania amefikishwa mahakamani kwa madai ya kukwepa kulipa ushuru na ulaji rushwa.
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Muhongo aachia ngazi
Dakika 50 zilimtosha Profesa Sospeter Muhongo kujieleza kwa urefu wakati akitangaza uamuzi wake wa kujiuzulu uwaziri wa Nishati na Madini akisema “anataka nchi isonge mbele†baada ya kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa Taifa.
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Mkurugenzi KCMC aachia ngazi
>Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dk Moshi Ntabaye, ameamua kubwaga manyanga huku watumishi wakiwa wamepoteza morali ya kufanya kazi katika hospitali hiyo kubwa na maarufu nchini.
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Mtawala aachia ngazi Simba
BAADA ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Simba, Evodius Mtawala kuikwaa nafasi ya Mkurugenzi wa Uanachama na Sheria ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ameachia ngazi Msimbazi. Mtawala ambaye ni mwanasheria...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOGlnOwPxepXXnzqaIvetXU*7EjLaq2nLxmFFZeqEm1EhnygeXc7eJXJCj5niqIiw4bKMO2CBaZCucDxhh3zpI2YdUkwsd0e/scolari.jpg)
KOCHA WA BRAZIL FELIPE SCOLARI AACHIA NGAZI
Luiz Felipe Scolari. KOCHA wa timu ya Taifa Brazil, Luiz Felipe Scolari ametangaza rasmi kuachia nafasi ya ukocha katika kikosi hicho baada ya matokeo mabaya katika michuano ya Kombe la Dunia 2014. Scolari amelaumiwa kwa kushindwa kuiongoza Brazil iliyoambulia nafasi ya nne katika muchuano hiyo iliyoandaliwa nyumbani kwao huku ikishuhudia kombe likienda kwa Ujerumani. ...
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Naibu Katibu Mkuu NLD aachia ngazi
Sakata la Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Emmanuel Makaidi na mkewe Modesta Ponera kuwa wajumbe wa Bunge la Katiba, limeingia katika sura mpya baada ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Khamis Haji Mussa, kujivua uanachama.
10 years ago
Habarileo02 Dec
Waziri afukuzwa, IGP aachia ngazi Kenya
MBUNGE wa Kajiado ya Kati nchini Kenya, Joseph Nkaissery ameteuliwa kuwa Waziri wa Usalama wa Ndani wa nchi hiyo.
11 years ago
Mwananchi30 Jun
Mtatiro aachia ngazi CUF, Sakaya amrithi mikoba
>Baraza Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) limemchagua Mbunge wake wa Viti Maalumu, Magdalena Sakaya kuwa naibu katibu mkuu wa chama hicho upande wa Tanzania Bara kushika nafasi iliyoachwa wazi na Julius Mtatiro.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania