Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naibu Katibu Mkuu NLD aachia ngazi

Sakata la Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Emmanuel Makaidi na mkewe Modesta Ponera kuwa wajumbe wa Bunge la Katiba, limeingia katika sura mpya baada ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Khamis Haji Mussa, kujivua uanachama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: MKUU WA USALAMA WA RAIS WA MAREKANI AACHIA NGAZI LEO



Na Sultani Kipingo
Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Bi Julia Pierson (pichani) , Mkuu wa Kikosi cha Usalama wa Rais wa Marekani maarufu kama Secret Service, amejiuzuru nafasi hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani wan chi hiyo  Bw. Jeh Johnson ametangaza leo. Katika taarifa yake Bw. Johnson kasema atamteua Bw. Joseph Clancy kukaimu wadhifa huo nyeti.

Afisa habari wa Ikulu ya Marekani Bw.  Josh Earnest amesema katika mkutano na wanahabari leo kuwa Rais Barack Obama alimwita Bi Pierson na...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE NA BALOZI WA TANZANIA SAUDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha  Balozi Liberata Mulamula kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Balozi Mulamula anakuwa Katibu Mkuu wa kwanza mwanamke kuongoza Wizara hiyo na kabla ya uteuzi huo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Hafla hiyo fupi ya uapisho imefanyika Ikulu tarehe 27 Mei, 2015.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Balozi Hassan Simba Yahya  kuwa...

 

9 years ago

Vijimambo

JK AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU NA KATIBU TAWALA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na waliapishwa keo.Kushoto ni Katbu Tawala Mkoa wa Katavi Ndugu Madeni kipande, wanne kushoto ni Naibu katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu Emmanuel Kalobelo na kulia ni Naibu Katibu Mkuu Mpya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Ndugu Tixon NzundaNaibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu Emannuel...

 

10 years ago

GPL

DKT. SHEIN AWAAPISHA KAIMU JAJI MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU AFYA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mkusa Issack Sepetu kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Halima  Maulid Salum kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini… ...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME WILAYANI KISHAPU

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli akiongozana na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali  Mbazi Msuya wakati wa kufuatilia Utekelezaji wa Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame kijijini Masanga , wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF. Baadhi ya wanakikundi cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu Shinyanga, wakiwa na mbuzi waliowapata kutoka Idara ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Muhongo aachia ngazi

Dakika 50 zilimtosha Profesa Sospeter Muhongo kujieleza kwa urefu wakati akitangaza uamuzi wake wa kujiuzulu uwaziri wa Nishati na Madini akisema “anataka nchi isonge mbele” baada ya kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi KCMC aachia ngazi

>Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dk Moshi Ntabaye, ameamua kubwaga manyanga huku watumishi wakiwa wamepoteza morali ya kufanya kazi katika hospitali hiyo kubwa na maarufu nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtawala aachia ngazi Simba

BAADA ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Simba, Evodius Mtawala kuikwaa nafasi ya Mkurugenzi wa Uanachama na Sheria ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ameachia ngazi Msimbazi. Mtawala ambaye ni mwanasheria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani