Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWZZZZZ: MKUU WA USALAMA WA RAIS WA MAREKANI AACHIA NGAZI LEO



Na Sultani Kipingo
Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Bi Julia Pierson (pichani) , Mkuu wa Kikosi cha Usalama wa Rais wa Marekani maarufu kama Secret Service, amejiuzuru nafasi hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani wan chi hiyo  Bw. Jeh Johnson ametangaza leo. Katika taarifa yake Bw. Johnson kasema atamteua Bw. Joseph Clancy kukaimu wadhifa huo nyeti.

Afisa habari wa Ikulu ya Marekani Bw.  Josh Earnest amesema katika mkutano na wanahabari leo kuwa Rais Barack Obama alimwita Bi Pierson na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ....WAZIRI MKUU MAJALIWA AVAMIA BANDARI LEO, AAMRISHA KUKAMATWA KWA MAAFISA KIBAO WA TRA

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa leo ameamuru kukamatwa kwa maafisa kadhaa  wa Mamlaka ya Mapato (TRA) na wengine kufukuzwa kazi  baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Bandarini na kukuta madudu ambayo hakuyafurahia.Maafisa hao, ambao kwa sasa tunahifadhi majina ili Jeshi la Polisi liweze kuwashughulikia, wametakiwa pia kusalimisha hati zao za usafiri.Hii imekuja baada ya kugundulika kwamba kuna makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 80 ambayo data za Mamlaka ya Bandari inazo...

 

10 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS:Hatimaye Profesa Muhongo aachia ngazi

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu nafasi yake baada ya kile alichosema ni kuandamwa kila kona kuhusu sakata la Akaunti ya Escrow huku akisisitiza kuwa yeye hahusiki hata kidogo na kashfa hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Naibu Katibu Mkuu NLD aachia ngazi

Sakata la Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Emmanuel Makaidi na mkewe Modesta Ponera kuwa wajumbe wa Bunge la Katiba, limeingia katika sura mpya baada ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Khamis Haji Mussa, kujivua uanachama.

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: ALIYEKUWA KATIBU MKUU TAIFA WA CHADEMA DKT MASHINJI AHAMIA CCM.

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vincent Mashinji ametangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Februari 18, Ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ......: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI, AVUNJA BODI YA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) LEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amevunja bodi ya Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) pamoja na kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka, Mwenyekiti wa Bodi ya Bandari Profesa Joseph Msambichaka pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bandari, Awadh Massawe.
Kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na utendaji mbovu wa Mamlaka hiyo kwa muda mrefu na kitendo cha kutokuchukua hatua katika vyanzo husika.
Akizungumza  na waandishi wa Habari  Ofisini...

 

10 years ago

Mwananchi

Muhongo aachia ngazi

Dakika 50 zilimtosha Profesa Sospeter Muhongo kujieleza kwa urefu wakati akitangaza uamuzi wake wa kujiuzulu uwaziri wa Nishati na Madini akisema “anataka nchi isonge mbele” baada ya kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa Taifa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa Usalama Marekani ajiuzulu.

Mkuu wa Idara ya Usalama nchini Marekani,Julia Pierson amejiuzulu kufuatia matukio yenye kuhatarisha usalama wa taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtawala aachia ngazi Simba

BAADA ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Simba, Evodius Mtawala kuikwaa nafasi ya Mkurugenzi wa Uanachama na Sheria ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ameachia ngazi Msimbazi. Mtawala ambaye ni mwanasheria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani