Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWS:Hatimaye Profesa Muhongo aachia ngazi

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu nafasi yake baada ya kile alichosema ni kuandamwa kila kona kuhusu sakata la Akaunti ya Escrow huku akisisitiza kuwa yeye hahusiki hata kidogo na kashfa hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Muhongo aachia ngazi

Dakika 50 zilimtosha Profesa Sospeter Muhongo kujieleza kwa urefu wakati akitangaza uamuzi wake wa kujiuzulu uwaziri wa Nishati na Madini akisema “anataka nchi isonge mbele” baada ya kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa Taifa.

 

10 years ago

Habarileo

Hatimaye Profesa Muhongo ajiuzulu

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoHATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: MKUU WA USALAMA WA RAIS WA MAREKANI AACHIA NGAZI LEO



Na Sultani Kipingo
Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Bi Julia Pierson (pichani) , Mkuu wa Kikosi cha Usalama wa Rais wa Marekani maarufu kama Secret Service, amejiuzuru nafasi hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani wan chi hiyo  Bw. Jeh Johnson ametangaza leo. Katika taarifa yake Bw. Johnson kasema atamteua Bw. Joseph Clancy kukaimu wadhifa huo nyeti.

Afisa habari wa Ikulu ya Marekani Bw.  Josh Earnest amesema katika mkutano na wanahabari leo kuwa Rais Barack Obama alimwita Bi Pierson na...

 

10 years ago

GPL

HATIMAYE WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROFESA SOSPITER MUHONGO AJIUZULU

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiongea na wanahabari ofisini kwake leo. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu nafasi hiyo leo ofisini kwake Dar kutokana na sakata la Escrow. Hatimaye Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospiter Muhongo amejiuzulu leo jijini Dar es Salaam. Waziri Muhongo amechukua uamuzi huo leo ofisini kwake mbele ya waandishi wa habari. Kujiuzulu kwa Muhongo...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: PROFESA SOSPETER MUHONGO ABWAGA MANYANGA

Habari kutoka katika mkutano wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (pichani) na wanahabari ofisini kwake Dar es salaam muda huu zinasema kiongozi huyo ameamua kubwaga manyanga. Sababu na habari kamili ya hili tutawaletea punde baada ya mkutano huo kwisha.

Ila kasema ameamua kujiuzulu kwa kile alichotaja kuiachia serikali na Bunge kusitisha malumbano ya sakata la Escrow, akidai inaonekana yeye ndiyo tatizo. Stay tuned for more....

 

10 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Profesa Lipumba ajiuzulu rasmi Uenyekiti CUF

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi wadhifa wake huo ndani ya chama kwa kikle alichokitaja kuwa ni kukiukwa kwa Katiba ya chama hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi KCMC aachia ngazi

>Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dk Moshi Ntabaye, ameamua kubwaga manyanga huku watumishi wakiwa wamepoteza morali ya kufanya kazi katika hospitali hiyo kubwa na maarufu nchini.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mfalme wa Uhispania aachia ngazi

Mfalme wa Uhispania Juan Carlos ameachia mamlaka maka mfalme wa Uhispania baada ya kutawala tangu mwaka 1975

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani