Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Breaking News: Profesa Lipumba katangaza maamuzi magumu

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Profesa Lipumba ajiuzulu rasmi Uenyekiti CUF

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi wadhifa wake huo ndani ya chama kwa kikle alichokitaja kuwa ni kukiukwa kwa Katiba ya chama hicho.

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS IBRAHIMU LIPUMBA AJIUZULU UENYEKITI CUF

Ibrahim Lipumba
Habari zlizotufikia hivi sasa zinasema mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ameamua kujiuzulu wadhifa wake wa mwenyekiti katika chama hicho.
Vuguvugu za kujiuzulu kwake zilianza juzi katika mitandao ya kijamii baada ya mwenyekiti huyo kutoonekana kwenye mkutano mkuu wa UKAWA walipompitisha Edward Lowassa kupeperusha bendera ya UKAWA kwenye mbio za Urais 2015 na Juma Dudi Haji kama mgombea mwenza.
Vijimambo inaendelea kulifuatilia swala hili kwa karibu zaidi stay tuned.

 

10 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS:Hatimaye Profesa Muhongo aachia ngazi

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu nafasi yake baada ya kile alichosema ni kuandamwa kila kona kuhusu sakata la Akaunti ya Escrow huku akisisitiza kuwa yeye hahusiki hata kidogo na kashfa hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MKUTANO WA PROF. LIPUMBA WAHAIRISHWA BAADA YA WANACHAMA KUZINGIRA OFISI YA CHAMA HICHO

Ilikuwa leo Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim azungumze na Wanahabari asubuhi hii ila mkutano huo umehairishwa hadi siku nyingine tena. Wananchi wa chama cha wananchi CUF wamezingira ofisi za chama hicho wakiongozwa na wazee wakitaka kujua hatima ya wenyekiti wao Prof.Ibrahim Lipumba aliyedawai kutaka kujiuzulu.Magdalena Sakaya ameulizwa Prof. Lipumba alitaka kuzungumza nini na akajibu wao hawajui kitu alichotaka kuwaambia wananchi Sababu kubwa ya kusitishwa mkutano, Magdalena amesema Wazee wa...

 

10 years ago

Raia Mwema

Watu wa ‘maamuzi’ magumu

MPAMBANO wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu utahusisha wagombea wawili ambao wana sifa mo

Ezekiel Kamwaga

 

10 years ago

BBCSwahili

Ban Ki moon afanya maamuzi magumu

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon, amesema amemfukuza mkuu wa kulinda amani toka UN nchini Afrika ya kati.

 

11 years ago

Habarileo

‘Mzee Karume alikuwa mtu wa maamuzi magumu’

 hayati Abeid Amaan KarumeRAIS wa Kwanza wa Zanzibar, hayati Abeid Amaan Karume anatajwa kuwa mfano wa kuigwa wa kufikia maamuzi magumu.

 

5 years ago

Global Publishers

Siku Mwalimu Nyerere Alipofanya Maamuzi Magumu

ILIKUWA mwaka 1955 mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kufanya maamuzi magumu ya kuamua kuachana na kazi yake ya ualimu kwenye Shule ya Sekondari Pugu iliyokuwa ikimpa kipato cha kujikimu na kuendesha maisha yake.

Alifanya maamuzi hayo ya kuachana na kazi yake hiyo na kuingia rasmi kwenye shughuli za kisiasa kupitia chama cha Tanganyika African National Union(TANU), ambazo kwa wakati huo hazikuwa na malipo zaidi ya kujitolea na wakati mwingine zilipelekea mtu kutiwa hatiani na...

 

10 years ago

Habarileo

Madereva wataka maamuzi magumu kukokesha ajali

CHAMA cha Wafanyakazi wa Usafirishaji kwa Njia ya Barabara Tanzania (TAROTWU) kimesema matatizo yanayotokea sasa, zikiwemo ajali za barabarani ni sehemu ya changamoto ambazo zinatakiwa kuchukuliwa maamuzi magumu na Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani