Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWS: MKUTANO WA PROF. LIPUMBA WAHAIRISHWA BAADA YA WANACHAMA KUZINGIRA OFISI YA CHAMA HICHO

Ilikuwa leo Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim azungumze na Wanahabari asubuhi hii ila mkutano huo umehairishwa hadi siku nyingine tena. Wananchi wa chama cha wananchi CUF wamezingira ofisi za chama hicho wakiongozwa na wazee wakitaka kujua hatima ya wenyekiti wao Prof.Ibrahim Lipumba aliyedawai kutaka kujiuzulu.Magdalena Sakaya ameulizwa Prof. Lipumba alitaka kuzungumza nini na akajibu wao hawajui kitu alichotaka kuwaambia wananchi Sababu kubwa ya kusitishwa mkutano, Magdalena amesema Wazee wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAILIMA ATEMBELEA OFISI ZA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA (CCWT) DODOMA KUONA MWENENDO WA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA CHAMA HICHO



Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akitoa maelekezo ya Serikali kwa Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) hawapo pichani, baada ya kukuta Ofisi zao zikiwa zimefungwa na hakuna maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho. Kailima, ameelekeza Wanachama wote wanaotaka kushiriki kwenye Mkutano wa...

 

10 years ago

GPL

PROF LIPUMBA KIZIMBANI NA WANACHAMA WAKE

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Lipumba na wanachama wengine wakiwa eneo la mahakama. MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za kukiuka agizo la jeshi la polisi na kuandamana. Lipumba na wanachama  wengine 32  wanatuhumiwa kufanya… ...

 

10 years ago

GPL

PROF. LIPUMBA NA BAADHI YA WANACHAMA WAKE WAKAMATWA NA POLISI

Prof. Lipumba akihutubia. TAARIFA zilizotufikia ni kwamba Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba na wanachama wake wamekamatwa na kupigwa na Jeshi la Polisi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kushtushwa na tukio hilo la kupigwa na kukamatwa Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA Prof. Lipumba. Uongozi wa juu wa Chadema pamoja na mawakili wa chama hicho wameelekea Kituo Kikuu cha Polisi, Dar kwa ajili ya tukio hilo...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ.....: PROF. LIPUMBA ABWAGA MANYANGA UWENYEKITI WA CUF

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi -CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ametangaza kujiuzuli wadhifa wake huo mbele ya Waandishi wa habari kwenye `hoteli ya Peacock, Jijini Dar es salaam leo.
Prof. Lipumba amesema ameamua kuchukua uamuzi huo baada ya kukiukwa kwa Katiba ya Chama chao.
TAARIFA KAMILI ITAKUJIA MUDA SI MREFU,ENDELEA KUFUATILIA GLOBU YA JAMII.

 

10 years ago

GPL

PROF. LIPUMBA AMECHOSHWA NA UKAWA AU CHAMA CHAKE CHA CUF?

NASHANGAA, kwa nini msomi kama Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anatafuta uongo kuuficha utashi wake ambao kimsingi ndiyo uliomfanya awe mwanamageuzi na kukubali kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf)? Usomi siyo kuwa na vyeti ni uwezo au maarifa ya kukabiliana na changamoto za maisha. Nilitaraji kumuona Prof. Lipumba akifikia tafsiri hii baada ya kubaini kuwa Umoja wa Katiba ya Mwananchi (Ukawa) alimokitumbukiza chama chake...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS IBRAHIMU LIPUMBA AJIUZULU UENYEKITI CUF

Ibrahim Lipumba
Habari zlizotufikia hivi sasa zinasema mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ameamua kujiuzulu wadhifa wake wa mwenyekiti katika chama hicho.
Vuguvugu za kujiuzulu kwake zilianza juzi katika mitandao ya kijamii baada ya mwenyekiti huyo kutoonekana kwenye mkutano mkuu wa UKAWA walipompitisha Edward Lowassa kupeperusha bendera ya UKAWA kwenye mbio za Urais 2015 na Juma Dudi Haji kama mgombea mwenza.
Vijimambo inaendelea kulifuatilia swala hili kwa karibu zaidi stay tuned.

 

10 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Profesa Lipumba ajiuzulu rasmi Uenyekiti CUF

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi wadhifa wake huo ndani ya chama kwa kikle alichokitaja kuwa ni kukiukwa kwa Katiba ya chama hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani