Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWZZZZ: PROFESA SOSPETER MUHONGO ABWAGA MANYANGA

Habari kutoka katika mkutano wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (pichani) na wanahabari ofisini kwake Dar es salaam muda huu zinasema kiongozi huyo ameamua kubwaga manyanga. Sababu na habari kamili ya hili tutawaletea punde baada ya mkutano huo kwisha.

Ila kasema ameamua kujiuzulu kwa kile alichotaja kuiachia serikali na Bunge kusitisha malumbano ya sakata la Escrow, akidai inaonekana yeye ndiyo tatizo. Stay tuned for more....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ.....: PROF. LIPUMBA ABWAGA MANYANGA UWENYEKITI WA CUF

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi -CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ametangaza kujiuzuli wadhifa wake huo mbele ya Waandishi wa habari kwenye `hoteli ya Peacock, Jijini Dar es salaam leo.
Prof. Lipumba amesema ameamua kuchukua uamuzi huo baada ya kukiukwa kwa Katiba ya Chama chao.
TAARIFA KAMILI ITAKUJIA MUDA SI MREFU,ENDELEA KUFUATILIA GLOBU YA JAMII.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Profesa Sospeter Muhongo, Mbunge wa Kuteuliwa

>Profesa Sospeter Muhongo alizaliwa katika Wilaya ya Musoma Mjini, mkoani Mara Juni 25, 1954 (atatimiza miaka 61 Juni mwaka huu). Alianza shule ya msingi mkoani Mara na kuendelea na masomo ya sekondari (kidato cha I – VI) katika shule mbalimbali hapa nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano


Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APOKEA NISHANI YA HESHIMA NCHINI NIGERIA

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo mapema Machi mwaka huu alikabidhiwa nishani ya kumbukumbu ya Profesa M.O. Oyawoye aliyewahi kuwa Profesa wa kwanza duniani kutoka Bara la Afrika katika masuala ya jiolojia huko nchini Nigeria. Profesa Muhongo alikabidhiwa nishani hiyo na timu ya wanajiolojia kwa kutambua mchango wake mkubwa barani Afrika na duniani kwa ujumla. Nishani hiyo alikabidhiwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Daniel Ole Njoolay kwa niaba yake.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APOKEA NISHANI YA HESHIMA NCHINI NIGERIA

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiwa ofisini kwake huku akiwa amevaa nishani hiyo. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo mapema Machi mwaka huu alikabidhiwa nishani ya kumbukumbu ya Profesa M.O. Oyawoye aliyewahi kuwa Profesa wa kwanza duniani kutoka Bara la Afrika katika masuala ya jiolojia huko nchini Nigeria. Profesa Muhongo alikabidhiwa nishani hiyo na timu ya wanajiolojia kwa kutambua...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA FINLAND NCHINI BI. SINIKKA ANTILA AMTEMBELEA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akimkaribisha Balozi wa Finland Nchini Bi. Sinikka Antila (kushoto) kabla ya kuanza kikao kilichojadili utekelezaji wa mradi mkubwa wa kuboresha umeme katikati ya jiji la Dar es Salaam. Pia kikao hicho kilihusisha ujumbe wa balozi wa Finland na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akizungumza na Balozi wa Finland Nchini Bi. Sinikka Antila na ujumbe...

 

10 years ago

Dewji Blog

Profesa Sospeter Muhongo asaini mkataba wa mradi wa kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya

unnamed27

Mawaziri wanaoshughulikia Nishati kutoka nchi za Zambia, Tanzania na Kenya wakisaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo.

Na Anitha Jonas, Maelezo-DSM.

WAZIRI wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo jana ametia saini Mkataba wa Mradi kujenga Miundombinu ya kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya (ZTK) katika Mkutano  wa Kumi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kikwete abwaga manyanga

HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete amekubaliana na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwamba Bunge Maalumu la Katiba, liishie Oktoba 4, 2014. Kurejea kwa bunge hilo kutategemea ridhaa ya rais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani