BREAKING NEWZZZZZ....WAZIRI MKUU MAJALIWA AVAMIA BANDARI LEO, AAMRISHA KUKAMATWA KWA MAAFISA KIBAO WA TRA
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa leo ameamuru kukamatwa kwa maafisa kadhaa wa Mamlaka ya Mapato (TRA) na wengine kufukuzwa kazi baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Bandarini na kukuta madudu ambayo hakuyafurahia.Maafisa hao, ambao kwa sasa tunahifadhi majina ili Jeshi la Polisi liweze kuwashughulikia, wametakiwa pia kusalimisha hati zao za usafiri.Hii imekuja baada ya kugundulika kwamba kuna makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 80 ambayo data za Mamlaka ya Bandari inazo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
9 years ago
Michuzi
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
HAPA KAZI TU: Majaliwa aibukia Bandari na kuwatia mbaroni maafisa kadhaa huku Rais akimsimamisha kazi Kamishna TRA!
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya ghafla bandarini akisalimiana na uongozi wa TRA na TPA.
WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa watano na watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 80/-.
Akizungumza na viongozi wa Mamlaka ya Bandari pamoja na viongozi wa TRA katika ziara ya kushtukiza leo mchana (Ijumaa, Novemba 27, 2015), Waziri Mkuu amewataka Kamishna...
11 years ago
Michuzi.jpg)
BREAKING NEWZZZZZ: MKUU WA USALAMA WA RAIS WA MAREKANI AACHIA NGAZI LEO
.jpg)
Na Sultani Kipingo
Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Bi Julia Pierson (pichani) , Mkuu wa Kikosi cha Usalama wa Rais wa Marekani maarufu kama Secret Service, amejiuzuru nafasi hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani wan chi hiyo Bw. Jeh Johnson ametangaza leo. Katika taarifa yake Bw. Johnson kasema atamteua Bw. Joseph Clancy kukaimu wadhifa huo nyeti.Afisa habari wa Ikulu ya Marekani Bw. Josh Earnest amesema katika mkutano na wanahabari leo kuwa Rais Barack Obama alimwita Bi Pierson na...
9 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZ....: RAIS MAGUFULI AMTEUA MH. KASSIM MAJALIWA KWA NAFASI YA WAZIRI MKUU


9 years ago
Michuzi
JINA LA WAZIRI MKUU MTEULE MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LILIPOWASILISHWA BUNGENI DODOMA LEO



9 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZ.....: MH. KASSIM MAJALIWA APITISHWA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, muda mfupi uliopita limepitisha jina la Mbunge wa Jimbo la Rwangwa, Mh. Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Serikali ya awamu ya tano baada ya jina lake kupelekwa Bungeni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Mh. Majaliwa amepitishwa kwa kura 258 sawa na asilimia 73.5% ya kura zote za ndio.
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Breaking News!! Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa aliyekuwa TAMISEMI!
Kitendawili cha nani kuwa Waziri Mkuu tayari jibu limepatikana na sasa ni Kissim Majaliwa ambaye alikuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa (TAMISEMI) Aliyekuwa akishughulikia Elimu.
Jina hilo la Waziri Mkuu liliweza kupelekwa Bungeni kwa mbwembwe na baadae kusomwa. na kutajwa jina hilo ambalo wengi wa hawakulitegemea.
Bunge lililipuka kwa shangwe kwani ilikuwa ni ‘Surprise’ kwa jina hilo kutajwa Bungeni, kushika nafasi kubwa katika nchi.
Kassim...
9 years ago
Habarileo19 Nov
BREAKING NEWS: Kassim Majaliwa ateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ametegua kitendawili cha nani kuwa waziri mkuu kwa kumteua Mbunge wa Rwangwa Kassim Majaliwa kuchukua nafasi hiyo kubwa serikalini.