Pluijm: Yanga bingwa
KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema timu yake bado ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu na kwamba haoni sababu ya mashabiki wa timu hiyo kuwa na hofu. Kwa sasa, Yanga iko katika nafasi ya pili ya msimamo wa ligi ikiwa na pointi 23, kileleni ikiwemo Azam yenye pointi 25.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 May
Pluijm ashtuka Yanga
JENNIFER ULLEMBO NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
WAKATI klabu ya Yanga ikiendelea kusajili nyota wake kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo Mholanzi, Hans Van der Pluijm, amewashtukia viongozi wa timu hiyo akieleza anahisi baadhi ya wachezaji waliosajiliwa hadi sasa hakuwapendekeza katika ripoti yake.
Klabu hiyo hadi sasa imefanikiwa kupata saini za wachezaji watatu ambao ni Deus Kaseke aliyetoka Mbeya City, Haji Mwinyi wa Zanzibar na Benedicto Tinoco kutoka Kagera...
10 years ago
TheCitizen17 Dec
SOCCER: Pluijm in, Maximo out at Yanga
9 years ago
Mwananchi20 Oct
Kocha Pluijm kustaafia Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YgYdeQ2zeoweCktjpL6wYARUDbvnErMMfuGmdSnMqmFFTZxLIDgVNHHeTI8mOl2733y4mAgERHlU3oIdE0X8q7t/2.gif?width=650)
Pluijm aacha kazi Yanga
9 years ago
Mtanzania26 Aug
Pluijm agomea mechi Yanga
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, raia wa Uholanzi, amegoma kucheza mechi za kirafiki kwa ajili ya kujipima nguvu hadi nyota wake watakaporejea kutoka kwenye timu zao za Taifa ambazo wamekwenda kuzichezea.
Kocha huyo, ambaye hajafungwa mechi hata moja ya kirafiki, inawezekana hataki kuivuruga rekodi hiyo kutokana na kuwakosa nyota hao, ambao wamekuwa chachu ya ushindi kwenye kikosi hicho ambacho kilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania msimu...
11 years ago
Mwananchi02 Apr
Pluijm: Wachezaji Yanga wazembe
9 years ago
Mtanzania04 Dec
11 Yanga wamshusha presha Pluijm
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amechekelea hatua ya kurejea kikosini kwa nyota wake waliokuwa kwenye timu za Taifa zilizoshiriki michuano ya Kombe la Chalenji nchini Ethiopia, ambapo amedai sasa ndoto ya kutetea taji la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara inaweza kutekelezeka.
Kurejea kwa nyota hao kumesaidia kumshusha presha Pluijm, ambaye awali alidai kuwa michuano hiyo imemtibulia mipango yake kutokana na mikakati aliyojiwekea ya kuhakikisha anawapa...
11 years ago
Mwananchi17 May
Pluijm mwanachama hai Yanga
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Pluijm awaonya nyota Yanga