NEWS: AUA MAMA MKWE, MWANAWE NAYE AJIUA
MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
Pia amemjeruhi mkewe kabla ya kujiua kwa kujichoma na kisu tumboni, kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema tukio hilo ni la Jumamosi iliyopita.
Waliouawa walitajwa kuwa ni Sarah Mango wa miaka kati ya 60 na 70 na mtoto, Amina Jumanne mwenye umri wa miaka miwili,...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Dec
Aua mama mkwe, mwanawe naye ajiua
MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Aua watu 8 naye ajiua Canada
9 years ago
Habarileo18 Aug
Mama aua mwanawe kwa sumu
MKAZI wa Chuo, tarafa ya Shimbi Kwandele wilayani Rombo, Kilimanjaro, Fidensia Salvatory (27) anashikiliwa na Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua kwa kumnywesha sumu mwanawe wa miezi sita kwa madai ya kukerwa na wakwe zake.
11 years ago
Habarileo20 Mar
Baba aua mwanawe chekechea
MTOTO mwenye umri wa miaka saba, mjini Tunduma wilayani Momba, ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo na baba yake mzazi akimtuhumu kwa uzururaji.
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Baba ajiua kutokana na picha za mwanawe
10 years ago
Mwananchi25 Aug
Aua mtoto, ajiua kisa meseji
11 years ago
Habarileo16 Mar
Albino aua mwanawe, amchuna ngozi
POLISI mkoani Singida inawashikilia wanawake wawili, mmoja wao akiwa mlemavu wa ngozi `albino’, kwa tuhuma ya kuua na kumchuna ngozi mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.
10 years ago
Vijimambo06 Jan
Aua, ajiua, aacha ujumbe wa kurasa nne
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2579930/highRes/915412/-/maxw/600/-/87tamy/-/ushahidi.jpg)
Songea. Mfanyabiashara wa mbao Manispaa ya Songea, Emmanuel Moshi (40), mkazi wa Marangu, mkoani Kilimanjaro amemuua mfanyabiashara mwenzake aliyetambuliwa kwa jina la Didas Alphonce (64), mkazi wa Kilema Kilimanjaro kwa kumpasua...
10 years ago
Habarileo24 Oct
Achinja mkewe, naye ajiua
MWANAMUME mwenye umri wa miaka 30 amejinyonga kwa kamba ya katani hadi kufa baada ya kumuua mkewe kwa kumchinja shingo kwa kisu kutokana na kile alichodai kuwa ni kudharauliwa na mkewe.