Baba aua mwanawe chekechea
MTOTO mwenye umri wa miaka saba, mjini Tunduma wilayani Momba, ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo na baba yake mzazi akimtuhumu kwa uzururaji.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Aug
Mama aua mwanawe kwa sumu
MKAZI wa Chuo, tarafa ya Shimbi Kwandele wilayani Rombo, Kilimanjaro, Fidensia Salvatory (27) anashikiliwa na Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua kwa kumnywesha sumu mwanawe wa miezi sita kwa madai ya kukerwa na wakwe zake.
11 years ago
Habarileo16 Mar
Albino aua mwanawe, amchuna ngozi
POLISI mkoani Singida inawashikilia wanawake wawili, mmoja wao akiwa mlemavu wa ngozi `albino’, kwa tuhuma ya kuua na kumchuna ngozi mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.
10 years ago
Habarileo04 Dec
Aua mama mkwe, mwanawe naye ajiua
MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
10 years ago
CloudsFM04 Dec
NEWS: AUA MAMA MKWE, MWANAWE NAYE AJIUA
MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
Pia amemjeruhi mkewe kabla ya kujiua kwa kujichoma na kisu tumboni, kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema tukio hilo ni la Jumamosi iliyopita.
Waliouawa walitajwa kuwa ni Sarah Mango wa miaka kati ya 60 na 70 na mtoto, Amina Jumanne mwenye umri wa miaka miwili,...
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Simba aua baba, mtoto
11 years ago
BBCSwahili28 May
Baba amuua mwanawe wa kike Pakistan
11 years ago
Habarileo08 Aug
Baba mzazi ampa ujauzito mwanawe
MKAZI wa Kijiji cha Bwekela wilayani Igunga mkoani Tabora, Kashinje Shima, anatafutwa na Uongozi wa kijiji hicho, kwa kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa mwenye umri wa miaka 17.
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Baba amtupa mwanawe ndani ya maji
11 years ago
Habarileo25 Mar
Baba amnyonga mwanawe wa mwaka na miezi 7
MTOTO mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba, Henry Juma, amenyongwa na baba yake mzazi hadi kufa na kisha mwili wake kulazwa kitandani na mtuhumiwa kutokomea kusikojulikana.