Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baba amtupa mwanawe ndani ya maji

Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani kwa kosa la mauaji baada ya polisi kudai kuwa alimtupa mtoto wake mwenye umri wa miaka 5 kutoka juu ya daraja mjini St Petersburg.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KATIKA HALI YA KUTATANISHA BABA AMTUPA MWANAE KWENYE MAJI


Daraja
Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani kwa kosa la mauaji baada ya polisi kudai kuwa alimtupa mtoto wake mwenye umri wa miaka 5 kutoka juu ya daraja mjini St Petersburg.Afisa wa polisi alisema alijionea tukio hilo la kushangaza baada kumwandama John Jonchuck Jr, mwenye umri wa miaka 25, baada ya kuona akiendesha gari lake kwa kasi, alisema afisaa mkuu wa polisi Anthony Holloway.Mtoto huyo aliyetupwa ndani ya maji yenye kina cha mita 18 alipatikana akiwa amefariki saa moja baadaye.Polisi...

 

11 years ago

Habarileo

Amtupa mwanawe usiku aliwe na fisi

JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mkazi mmoja wa kijiji cha Songambele wilayani Maswa mkoani hapa, kwa tuhuma za kutaka kumuua mtoto wake kwa kumtupa na kumtelekeza nje ya nyumba ili aliwe na fisi.

 

11 years ago

Habarileo

Baba aua mwanawe chekechea

MTOTO mwenye umri wa miaka saba, mjini Tunduma wilayani Momba, ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo na baba yake mzazi akimtuhumu kwa uzururaji.

 

11 years ago

BBCSwahili

Baba amuua mwanawe wa kike Pakistan

Mwanamke amepigwa mawe na familia yake wakiwemo babake na ndugu zake wa kiume hadi kufariki kwa kuolewa na mtu wasiomkubali

 

11 years ago

Habarileo

Baba mzazi ampa ujauzito mwanawe

MKAZI wa Kijiji cha Bwekela wilayani Igunga mkoani Tabora, Kashinje Shima, anatafutwa na Uongozi wa kijiji hicho, kwa kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa mwenye umri wa miaka 17.

 

10 years ago

BBCSwahili

Baba ajiua kutokana na picha za mwanawe

Baba mmoja amejiua baada ya kuona picha za mwanawe wa kike akiwa uchi katika jarida la Playboy nchini Romania.

 

11 years ago

Habarileo

Baba amnyonga mwanawe wa mwaka na miezi 7

Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ahmed MsangiMTOTO mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba, Henry Juma, amenyongwa na baba yake mzazi hadi kufa na kisha mwili wake kulazwa kitandani na mtuhumiwa kutokomea kusikojulikana.

 

5 years ago

BBCSwahili

Romina Ashrafi: Baba amkatakata na kumuua mwanawe wa kike kwa kufunga ndoa kisiri Iran

Adhabu ya kina baba wanaowaua wanao Iran ni kati ya miaka 3 hadi 10

 

5 years ago

Michuzi

AWESO AMWEKA NDANI MKANDARASI WA MAJI MKINGA KUSHINDWA KUSIMAMIA MRADI WA MAJI MBUTA



NAIBU Waziri wa Maji Juma Aweso katika akiwa na Mbunge wa Jimbo la Mkinga (CCM) Dastani Kitandula kulia na Mkuu wa wilaya ya Mkinga Mark Yona wakitoka kukagua moja ya miradi ya maji inayotekelezwa wilayani humo
NAIBU Waziri wa Maji Jumaa Aweso kulia akiteta jamboi na Diwani wa Kata Mwakijembe kushoto kulia ni Mkuu wa wilaya ya Mkinga Mark Yonna
Mhandisi wa Wakala wa Maji Vijiji (Ruwasa) wilaya ya Mkinga Castory Keneth katika akiwa chini ya ulinzi wa askari kufuatia Naibu Waziri wa Maji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani