Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amtupa mwanawe usiku aliwe na fisi

JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mkazi mmoja wa kijiji cha Songambele wilayani Maswa mkoani hapa, kwa tuhuma za kutaka kumuua mtoto wake kwa kumtupa na kumtelekeza nje ya nyumba ili aliwe na fisi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Baba amtupa mwanawe ndani ya maji

Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani kwa kosa la mauaji baada ya polisi kudai kuwa alimtupa mtoto wake mwenye umri wa miaka 5 kutoka juu ya daraja mjini St Petersburg.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbelwa amtupa Nyilawila

Bondia Said Mbelwa amesema aliamua kuanzisha vurugu na kumbeba mpinzani wake Karama Nyilawila kisha kumtupa nje ya ulingo katika pambano lao la juzi la ubingwa wa Dunia wa UBO baada ya kuona dalili za kuhujumiwa.

 

10 years ago

GPL

MAMA YAKE AMTUPA, KISA MGONJWA

Stori: Gabriel Ng’osha na Shani Ramadhani MTOTO Sauda Mohamed (6) mkazi wa Kigogo, Dare s Salaam ameokotwa na wasamaria wema baada ya kutupwa na mama yake ambaye hajafahamika.
Habari zinasema mtoto huyo baada ya kuokotwa alifikishwa katika Kitengo cha Ustawi wa Jamii Wilaya ya Ilala ambako alipokelewa na kulelewa. Mtoto Sauda Mohamed aliyeokotwa na wasamaria wema baada ya kutupwa na mama yake. ALIVYOOKOTWA
Sauda...

 

10 years ago

GPL

MWANZA: MAMA AJIFUNGUA MTOTO, AMTUPA DAMPO

Wakazi wa Mkuyuni jijini Mwanza wakiwa katika eneo alilotupwa mtoto wakisubiri polisi. Polisi akishirikiana na wananchi kuuchukua mwili wa mtoto huyo katika jalala alipotupwa na mama yake mzazi. ...wakisaidiana kuubeba mwili wa mtoto.…

 

10 years ago

Vijimambo

KATIKA HALI YA KUTATANISHA BABA AMTUPA MWANAE KWENYE MAJI


Daraja
Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani kwa kosa la mauaji baada ya polisi kudai kuwa alimtupa mtoto wake mwenye umri wa miaka 5 kutoka juu ya daraja mjini St Petersburg.Afisa wa polisi alisema alijionea tukio hilo la kushangaza baada kumwandama John Jonchuck Jr, mwenye umri wa miaka 25, baada ya kuona akiendesha gari lake kwa kasi, alisema afisaa mkuu wa polisi Anthony Holloway.Mtoto huyo aliyetupwa ndani ya maji yenye kina cha mita 18 alipatikana akiwa amefariki saa moja baadaye.Polisi...

 

10 years ago

GPL

FISI HAACHIWI BUCHA

He he he heeee, acha nicheke miye mwana Kibatari mjukuu ya Kandili, unajua vitu vingine vinachekesha kama si kusikitisha, unalalamika mwanamke mzima uliyekamilika tena bila aibu eti mfanyakazi wako wa ndani anakulia mali zako kwa mumeo kuhamishia mapenzi kwake! Unajua kauli hiyo hunifanya nikumbuke ile kauli isemayo mpambe awe mwenye mali na mwenye mali aonekane mpambe. Ooh, nilikuja na kasi ya ajabu na miye bila salamu kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli na mfupa uliomshinda fisi

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amekuja na ahadi ya kuanzisha mahakama maalumu ya kusikiliza kesi za rushwa na ufisadi.

 

11 years ago

Mwananchi

Fisi wasitisha mradi wa nguruwe

Mradi wa kufuga nguruwe uliokuwa ukitekelezwa na Kikundi cha Twaweza, Kata ya Mwendakulima, wilayani Kahama umefungwa baada ya fisi kuvamia zizi na kuwatafuna wote.

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto waliwa na fisi, wafa

Bahi. Watoto wawili wenye umri wa kati ya miaka miwili na mitano wameuawa na fisi katika Kijiji cha Mnkola, Kata ya Ibihwa wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma katika matukio mawili tofauti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani