MAMA YAKE AMTUPA, KISA MGONJWA
![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouurnZRbG5cx*sJc1za1wXxP0sMLny8VQcTc8rhFAOFrccOM-nbz4cfkqg5Tyd3x9iNC24iVUUyV922NSz8iHpWeG/MTOTO.jpg)
Stori: Gabriel Ng’osha na Shani Ramadhani MTOTO Sauda Mohamed (6) mkazi wa Kigogo, Dare s Salaam ameokotwa na wasamaria wema baada ya kutupwa na mama yake ambaye hajafahamika. Habari zinasema mtoto huyo baada ya kuokotwa alifikishwa katika Kitengo cha Ustawi wa Jamii Wilaya ya Ilala ambako alipokelewa na kulelewa. Mtoto Sauda Mohamed aliyeokotwa na wasamaria wema baada ya kutupwa na mama yake. ALIVYOOKOTWA Sauda...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3Ia23pMHERSAVP85cFJp3r1P3G6qn3v7sXaJJq3oMlbWkjmj*ceu0tJSwhC6VWwZxcEoqNud9MbrkNg4kF8K*sg/TTTTAA.jpg)
Tambwe apokea simu mazoezini, mama yake mgonjwa
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Aliyemchinja mama yake kisa ni hiki
Na Waandishi Wetu, UWAZI
DAR ES SALAAM: Simulizi inauma! Baada ya Erasto Kilaini, 23, (pichani) mkazi wa Mtaa wa Fida Hussein, Vingunguti Kiembembuzi, Dar kumchinja mpaka kumuua mama yake mzazi, Margaret Kilaini (47) na jirani yao, Mama Alonso, chanzo cha unyama huo kimejulikana, Uwazi lina kisa kamili.
Erasto ambaye pia ni marehemu, anadaiwa kutenda ukatili huo, Desemba 18, mwaka huu nyumbani kwao huko, hali iliyoacha simanzi mpaka sasa.
WALIVYOSEMA WANAOJUA
Kwa mujibu wa mtu mmoja...
10 years ago
GPLMWANZA: MAMA AJIFUNGUA MTOTO, AMTUPA DAMPO
10 years ago
Michuzi14 Sep
10 years ago
Michuzi27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamisin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
![IMG_3895](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_3895.jpg)
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo maalum kwa wanawake wote...
10 years ago
Dewji Blog27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
Na Mwandishi Wetu
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:
Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...
5 years ago
BBCSwahili29 Feb
"Maisha yake ni sawasawa na mtu aliyekufa na kufufuka" kulingana na mama yake
10 years ago
Bongo Movies02 Jan
Lulu Amzawadia Nyumba Mama Yake Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.
Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria...
9 years ago
Bongo513 Oct
Aslay adai asilimia 60 ya mafanikio yake yametokana na marehemu mama yake