Tambwe apokea simu mazoezini, mama yake mgonjwa
![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3Ia23pMHERSAVP85cFJp3r1P3G6qn3v7sXaJJq3oMlbWkjmj*ceu0tJSwhC6VWwZxcEoqNud9MbrkNg4kF8K*sg/TTTTAA.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAKATI kikosi cha Yanga kikiendelea kujifua kwa ajili ya mechi ya Jumapili dhidi ya Simba, mshambuliaji wa timu hiyo raia wa Burundi, Amissi Tambwe, juzi Jumatano alijikuta katika wakati mgumu mazoezini baada ya kupokea simu ya ugonjwa kutoka nyumbani kwao. Wakati mazoezi ya timu hiyo yakiendelea kwenye Uwanja wa Chuo cha Uvuvi Mbegani, Tambwe alipigiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouurnZRbG5cx*sJc1za1wXxP0sMLny8VQcTc8rhFAOFrccOM-nbz4cfkqg5Tyd3x9iNC24iVUUyV922NSz8iHpWeG/MTOTO.jpg)
MAMA YAKE AMTUPA, KISA MGONJWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hfKYI7dZOjpO9vP6vaYUkvnXZxAJ8oDIjfHflbHcKxsgsEj4mnwyIWarINuwO5k2MWHTWvzarxQ5vOGLsAOlV9T/kanumba.jpg?width=650)
STEVEN KANUMBA ADAIWA KUIBA SIMU YA MSANII MAZOEZINI -3
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8fil5gmLgTbniX8RYS4m5blpt9cVnqskXqZCwgNmZHR1t0fBgAlZmqKvmlrHsSo3LXEBSHL8cWjaguw1yHQ2e3nurZjRWgKC/niyonzima.jpg)
Niyonzima apokea simu za kifo
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wp-rw0AxPWE/U339goZWauI/AAAAAAAFkes/vIJCAkIJ1zQ/s72-c/unnamed+(25).jpg)
MAMA SHEIN APOKEA MSAADA WA VYARAHANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-wp-rw0AxPWE/U339goZWauI/AAAAAAAFkes/vIJCAkIJ1zQ/s1600/unnamed+(25).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-nEFF7lA3uJw/VClm9fnYXWI/AAAAAAADGTM/Drs3lfn3dXw/s72-c/IMG_1996.jpg)
Mama Salma Kikwete Apokea Mashine ya Mammogram.
![](http://1.bp.blogspot.com/-nEFF7lA3uJw/VClm9fnYXWI/AAAAAAADGTM/Drs3lfn3dXw/s1600/IMG_1996.jpg)
10 years ago
Dewji Blog27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
Na Mwandishi Wetu
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:
Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...
10 years ago
Michuzi27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamisin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
![IMG_3895](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_3895.jpg)
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo maalum kwa wanawake wote...
10 years ago
GPLMAMA KARUME APOKEA KADI YA YANGA TOKA CRDB
5 years ago
BBCSwahili29 Feb
"Maisha yake ni sawasawa na mtu aliyekufa na kufufuka" kulingana na mama yake