Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA KARUME APOKEA KADI YA YANGA TOKA CRDB

Bi Fatuma akisaini makubaliano na Mkurugenzi mtendaji wa CRDB, Charles Kimei. Bi Fatuma Karume akisimulia historia ya Yanga kwa wanahabari.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mama Karume aitetea Yanga

Mdhamini wa klabu ya Yanga, Mama Fatuma Karume amesema Yanga hawajakurupuka kukacha michuano ya Mapinduzi ila wana sababu zao za msingi na ndiyo maana wamefanya hivyo.

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA KARUME AZINDUA MICHUANO YA KARUME CUP

Makamu Mwenyekiti wa Mpira wa Mikono Zanzibar (BAZA) Ramadhani Khamis Salmin akizungumza wakati wa ufunguzi huu wa michuano ya Kombe la Karume Cup uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar na kushirikisha timu 17 za mchezo huo kwa Zanzibar 6 zikiwa za Wanawake na 11 za Wanaume. Mlezi wa Michuano ya Kombe la Karume Cup Mama Shadya Karume akitowa shukarani zake kwa Chama cha Mpira wa Mikono Zanzibar (BAZA) kufanikisha michuano hiyo kwa kipindi chote cha miaka 12 kwa kumuezi Mzee Abeid...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMALAMIKO KUHUSIANA NA CRDB KADI ZA BENKI

Timu ya Vijimambo leo tumepata email kutoka kwa mteja wa CRDB aliyejitambulisha kwa jina la Mtemi Ramadhani kuhusiana na kadi za ATM za CRDB kugoma kutoa fedha kwenye ATM za benki hiyo  na hii ndio email ya mteja huyo alivyoiandika

"Ndugu zangu Mimi ni mdau mkubwa wa Blog yenu naomba kutoa kilipo changu Kuhusu Card za ATM za Benki ya CRDB.Nipo Uk mjini Birmingham na Leo ni Siku ya 16 nashindwa kutoa fedha kwa kutuma Card yangu.Nimemtuma mtoto ameenda Kijitonyama CRDB ulipo akaunti yangu bila...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB yazindua huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi KCMC

Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini Dk Martini Shao akiwa na mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB pamoja na kaimu mkurugenzi wa hosptali ya KCMC .Prof Raimosi Ollomi wakati akizindua tawi dogo la Benki ya CRDB. Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB,Dk Charles Kimei akimuelekeza jambo Askofu Dk Martin Shao kabla ya uzinduzi wa huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi. Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini,Dk Martin...

 

10 years ago

Michuzi

YOUNG AFRICANS NA BENKI YA CRDB WAINGIA MAKUBALIANO YA UTENGENEZAJI WA KADI ZA KISASA ZA UANACHAMA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kulia) akisaini mkataba na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Yanga, Mama Fatma Karume kwa ajili ya kutengeneza kadi za kisasa za uanachama wa klabu hiyo za mfumo wa kieletroniki 'Gold Premium Card'. Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa klabu ya Yanga, Mama Fatma Karume akipitia mkataba walioingia na Benki ya CRDB.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akionyesha kadi ya kisasa ya uanachama wa Yanga ikiwa...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA NACHINGWEA WAKIKIMBIA CHAMA CHAO NA KUJIUNGA NA CCM, WAZIRI CHIKAWE APOKEA KADI ZAO NA KUWAKARIBISHA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) akizionesha kadi za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Kata ya Lionja, Wilayani Nachingwea, Hashimu Halifa (kulia). Waliorudisha kadi hizo na kujiunga na CCM ni Lusia Mohammed, Abdu Ngawina na Mohammed Kindamba. Waziri Chikawe ambaye yupo katika ziara ya kikazi jimboni kwake aliwaomba Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuiya zote za CCM Kata,...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA HUNDI YA SH. MILIONI 100 KUTOKA CRDB KUSAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO MORO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kutoka benki hiyo kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo February 4, 2014 na kuhudhuriwa pia na Mhesimiwa William Lukuvi, Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

JK apokea salamu za kheri toka kwa Rais Barack Obama wa Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo jijini Baltimore, Maryland, Marekani.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha na ujumbe kutoka Ubalozi wa Tanzania ulioko jijini Washington DC uliomtembelea kumjulia hali na kwasilisha salamu za Rais Barack Obama Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani