YOUNG AFRICANS NA BENKI YA CRDB WAINGIA MAKUBALIANO YA UTENGENEZAJI WA KADI ZA KISASA ZA UANACHAMA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kulia) akisaini mkataba na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Yanga, Mama Fatma Karume kwa ajili ya kutengeneza kadi za kisasa za uanachama wa klabu hiyo za mfumo wa kieletroniki 'Gold Premium Card'.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa klabu ya Yanga, Mama Fatma Karume akipitia mkataba walioingia na Benki ya CRDB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akionyesha kadi ya kisasa ya uanachama wa Yanga ikiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Vijimambo16 Oct
MAMALAMIKO KUHUSIANA NA CRDB KADI ZA BENKI
"Ndugu zangu Mimi ni mdau mkubwa wa Blog yenu naomba kutoa kilipo changu Kuhusu Card za ATM za Benki ya CRDB.Nipo Uk mjini Birmingham na Leo ni Siku ya 16 nashindwa kutoa fedha kwa kutuma Card yangu.Nimemtuma mtoto ameenda Kijitonyama CRDB ulipo akaunti yangu bila...
11 years ago
MichuziNEWS ALERT: BENKI YA CRDB KUJENGA TAWI LA KISASA KATIKA KIWANDA CHA DANGOTE, MTWARA
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAKISHIRIKI MICHEZO MBALIMBALI KATIKA SIKU YA FAMILIA YA CRDB
Watoto wakifurahia michezo mbalimbali katika viwanja vya Olasiti Garden
leo katika sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo hufanyika kila mwaka
na kuhudhuriwa na familia za wafnayakazi wa benki pamoja na familia za
wateja.
KWA PICHA...
10 years ago
Bongo Movies17 Jul
Bongo Movies Wakabidhiwa Kadi za Uanachama wa Simba
Wasanii wa sanaa za maigizo maarufu kama ‘Bongo Movies’ wanaoishabikia klabu ya Simba jana wamekabidhiwa kadi za uanachama wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuelekea kwenye kilele cha siku ya Simba ijulikanayo kama ‘Simba Day’ ambayo huadhimishwa kila ifikapo Agosti 8 kila mwaka.Mwenyekiti wa klabu hiyo Evans Aveva ndiye aliyewakabidhi kadi hizo wasanii wakiongozwa na Jacob Steven ‘JB’, Mtitu, Monalisa pamoja na Odama ambao wote kwa pamoja...
10 years ago
MichuziNMB NA AZAM FC WAZINDUA RASMI KADI ZA UANACHAMA WA AFC
Naibu Waziri wa Habari ,Vijana ,utamaduni na michezo Mhe. Juma Nkamia ndie alikuwa mgeni rasmi katika hafla hii. Pia aliwataka wanachama kuiunga mkono timu hiyo kwa matokeo yoyote.
“Mashabiki najua kazi zenu ni mbili kushangilia na kuzomea timu pinzani hivyo nawataka muwe na mapenzi ya dhati na timu yenu kwani naamini...
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Lowassa ajiunga rasmi na Ukawa, akabidhiwa kadi ya uanachama Chadema
9 years ago
Michuzi
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UTENGENEZAJI NA UCHAPISHAJI KADI ZA XMAS NA MWAKA MPYA KWA GHARAMA ZAKE

Balozi Sefue, ameelekeza kuwa yeyote anayetaka kutengeneza ama kuchapisha kadi hizo, afanye hivyo kwa gharama zake mwenyewe.
Badala yake Balozi Sefue ameagiza fedha zilizopangwa kugharamia utengenezaji na uchapishaji wa kadi, zitumike kupunguza madeni ambayo Wizara, Idara na Taasisi za umma zinadaiwa na wananch/wazabuni waliotoa...