Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB NA AZAM FC WAZINDUA RASMI KADI ZA UANACHAMA WA AFC

Benki ya NMB kwa kushirikiana na Azam FC jana wamezindua rasmi kadi za wanachama wa klabu hiyo amabazo zitawawezesha kupata huduma za kibenki za NMB zilizotapakaa nchi nzima.
Naibu Waziri wa Habari ,Vijana ,utamaduni na michezo Mhe. Juma Nkamia ndie alikuwa mgeni rasmi katika hafla hii. Pia aliwataka wanachama kuiunga mkono timu hiyo kwa matokeo yoyote.
“Mashabiki najua kazi zenu ni mbili kushangilia na kuzomea timu pinzani hivyo nawataka muwe na mapenzi ya dhati na timu yenu kwani naamini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AJIUNGA RASMI NA UKAWA,AKABIDHIWA KADI RASMI YA UANACHAMA CHADEMA.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli akiingia kwenye ukumbi wa mikutano ndani ya hotel ya Bahari Beach jijini Dar,kwenye mkutano wa Wanahabari jioni ya leo. Mh.Lowassa akiingia kwenye Hoteli Bahari Beach  kwa ajili ya kutangaza adhima yake ya kujiunga na UKAWA. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa ametangaza kujiunga rasmi na Umoja wa Katiba (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) . Mh.Lowassa akiwa na viongozi wa UKAWA  katika Hoteli ya Bahari Beach Hoteli...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa ajiunga rasmi na Ukawa, akabidhiwa kadi ya uanachama Chadema

Lowassa ametangaza uamuzi huo leo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAZINDUA RASMI FAMILIA YA KADI ZA BENKI “MASTERCARD DEBIT” ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

 Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin William Mkapa wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumiwa rasmi na benki hiyo. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Rais wa Master Card kanda ya Afrika ya kati, Bw. Michael Mieback, akiwahutubia wadau wa Benki ya NMB wakati wa hafla ya uzinduzi wa kadi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Bongo Movies Wakabidhiwa Kadi za Uanachama wa Simba

Wasanii wa sanaa za maigizo maarufu kama ‘Bongo Movies’ wanaoishabikia klabu ya Simba jana  wamekabidhiwa kadi za uanachama wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuelekea kwenye kilele cha siku ya Simba ijulikanayo kama ‘Simba Day’ ambayo huadhimishwa kila ifikapo Agosti 8 kila mwaka.Mwenyekiti wa klabu hiyo Evans Aveva ndiye aliyewakabidhi kadi hizo wasanii wakiongozwa na Jacob Steven ‘JB’, Mtitu, Monalisa pamoja na Odama ambao wote kwa pamoja...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YAKABIDHI KADI ZA UANACHAMA KWA WANACHAMA WA HIARI KUTOKA TAASISI YA PFT

Hadi kufikia sasa PFT imefanikiwa kuunda jumla ya vikundi 150 vyenye wanachama 3,865 , wanawake wakiwa 3469 na wanaume 396, wanachama hao wamewekeza jumla ya sh. 1,443,806,510 kupitia mpango wa ununuzi wa hisa za kila wiki.


Katika risala yao wanachama hao wapya wa kutoka taasisi ya PFT walisema “Bodi ya wakurugenzi ya PFT na wanachama wote wa vicoba vinavyoratibiwa na Poverty Fighting Tanzania wameiomba NSSF kupitia Saccos Scheme iwasaidie kupunguza tatizo la mitaji midogo kwa wanachama...

 

5 years ago

CCM Blog

SUMAYE AKABIDHIWA KADI YA UANACHAMA NA KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally (aliyesimama) akizungumza jambo kabla ya hafla fupi ya kumkabidhi rasmi kadi ya uanachama wa chama hicho Waziri Muu Mstaafu ndugu Fredrick Sumaye leo Machi 29 jijini Dodom.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda (aliyesimama) akizungumza jambo katika hafla fupi ya kukabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa chama hicho Waziri Muu Mstaafu ndugu Fredrick Sumaye leo Machi 29 jijini Dodom. 
 Waziri Muu...

 

10 years ago

Vijimambo

MRATIBU WA CCM MAREKANI LOVENESS MAMUYA AKIMKABIDHI KADI YA UANACHAMA ANDREW SMASHER

ANDREW SMASHER NI MDAU WA SIKU NYINGI - HAPA AKICHUKUA UANACHAMA RASMI WA CCM JIJINI MINNEAPOLIS, MINNESOTA JANA KWENYE UZINDUZI WA SHINA LA CCM  MJINI HUKO

 

10 years ago

Michuzi

YOUNG AFRICANS NA BENKI YA CRDB WAINGIA MAKUBALIANO YA UTENGENEZAJI WA KADI ZA KISASA ZA UANACHAMA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kulia) akisaini mkataba na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Yanga, Mama Fatma Karume kwa ajili ya kutengeneza kadi za kisasa za uanachama wa klabu hiyo za mfumo wa kieletroniki 'Gold Premium Card'. Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa klabu ya Yanga, Mama Fatma Karume akipitia mkataba walioingia na Benki ya CRDB.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akionyesha kadi ya kisasa ya uanachama wa Yanga ikiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani