Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bongo Movies Wakabidhiwa Kadi za Uanachama wa Simba

Wasanii wa sanaa za maigizo maarufu kama ‘Bongo Movies’ wanaoishabikia klabu ya Simba jana  wamekabidhiwa kadi za uanachama wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuelekea kwenye kilele cha siku ya Simba ijulikanayo kama ‘Simba Day’ ambayo huadhimishwa kila ifikapo Agosti 8 kila mwaka.Mwenyekiti wa klabu hiyo Evans Aveva ndiye aliyewakabidhi kadi hizo wasanii wakiongozwa na Jacob Steven ‘JB’, Mtitu, Monalisa pamoja na Odama ambao wote kwa pamoja...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Bongo Movies Simba, Kuipamba Simba Day

Wachezaji wa BONGO MOVIES SIMBA wakiwa kwenye mazoezi makali kujiandaa na mechi ya SIMBA DAY tarehe 8/8 TAIFA STADIUM...HUYO MNAEMUONA NDIE MSHAMBULIAJI WAO TEGEMEO MSIKOSE

Jacob Stepehen ‘JB’ on instagram

 

10 years ago

Michuzi

NMB NA AZAM FC WAZINDUA RASMI KADI ZA UANACHAMA WA AFC

Benki ya NMB kwa kushirikiana na Azam FC jana wamezindua rasmi kadi za wanachama wa klabu hiyo amabazo zitawawezesha kupata huduma za kibenki za NMB zilizotapakaa nchi nzima.
Naibu Waziri wa Habari ,Vijana ,utamaduni na michezo Mhe. Juma Nkamia ndie alikuwa mgeni rasmi katika hafla hii. Pia aliwataka wanachama kuiunga mkono timu hiyo kwa matokeo yoyote.
“Mashabiki najua kazi zenu ni mbili kushangilia na kuzomea timu pinzani hivyo nawataka muwe na mapenzi ya dhati na timu yenu kwani naamini...

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII

Wasanii wa Bongo Movies wakijifua katika Viwanja vya Leaders jijini Dar jana jioni tayari kwa mpambano wao na Bongo Fleva keshokutwa Ijumaa. Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere (katikati) akionyesha ujuzi wakati wa mazoezi hayo jana.…

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies kutoka kushoto ni Mwenyekiti wao Steve Nyerere, William Mtitu na Issa Mussa 'Cloud 112' baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam wakitokea Bagamoyo walipokwenda kujiwinda kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Bongo Fleva leo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Uwanja wa Taifa jijini Dar.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, mkewe watua Chadema, wakabidhiwa kadi

>Hatimaye ameingia Chadema. Ilianza kama uvumi lakini jana ilikuwa dhahiri baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangaza rasmi kukihama chama tawala, CCM na kujiunga na Ukawa kupitia Chadema, huku akisisitiza; “Sasa basi, imetosha.”

 

11 years ago

GPL

NIGHT OF HOPE 2014: BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0

Mwanamuziki Ali Kiba akimtoka msanii wa Bongo Movies, Issa Mussa 'Cloud 112'. Mwanamuziki H-Baba akijaribu kuwatoka wachezaji wa Bongo Movies.…

 

10 years ago

GPL

BONGO MOVIES KWELI MMEKUBALI KUZIDIWA NA BONGO FLEVA?

LEO nimewakumbuka kwa mara nyingine ndugu zangu wasanii ambao mnafanya sinema za Kibongo, Bongo Movies. Sina haja ya kuwataja majina maana mko wengi, naweza nikamaliza barua yangu yote nikisema niwataje majina yenu mmojammoja. Bila shaka mu-wazima wa afya na wale ambao kwa namna moja au nyingine afya haiko poa, nawaombea kwa Mungu mpone haraka na mrudi katika hali ya kawaida, muendelee na kazi zenu za kujitafutia riziki. Mkitaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa ajiunga rasmi na Ukawa, akabidhiwa kadi ya uanachama Chadema

Lowassa ametangaza uamuzi huo leo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani