Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies kutoka kushoto ni Mwenyekiti wao Steve Nyerere, William Mtitu na Issa Mussa 'Cloud 112' baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam wakitokea Bagamoyo walipokwenda kujiwinda kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Bongo Fleva leo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Uwanja wa Taifa jijini Dar.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII

Wasanii wa Bongo Movies wakijifua katika Viwanja vya Leaders jijini Dar jana jioni tayari kwa mpambano wao na Bongo Fleva keshokutwa Ijumaa. Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere (katikati) akionyesha ujuzi wakati wa mazoezi hayo jana.…

 

11 years ago

GPL

NIGHT OF HOPE 2014: BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0

Mwanamuziki Ali Kiba akimtoka msanii wa Bongo Movies, Issa Mussa 'Cloud 112'. Mwanamuziki H-Baba akijaribu kuwatoka wachezaji wa Bongo Movies.…

 

10 years ago

GPL

BONGO MOVIES KWELI MMEKUBALI KUZIDIWA NA BONGO FLEVA?

LEO nimewakumbuka kwa mara nyingine ndugu zangu wasanii ambao mnafanya sinema za Kibongo, Bongo Movies. Sina haja ya kuwataja majina maana mko wengi, naweza nikamaliza barua yangu yote nikisema niwataje majina yenu mmojammoja. Bila shaka mu-wazima wa afya na wale ambao kwa namna moja au nyingine afya haiko poa, nawaombea kwa Mungu mpone haraka na mrudi katika hali ya kawaida, muendelee na kazi zenu za kujitafutia riziki. Mkitaka...

 

11 years ago

GPL

USIKU WA MATUMAINI 2014... MAPINDUZI BAB’KUBWA YA BURUDANI BONGO

Unakumbuka Tamasha la Usiku wa Matumaini lilivyotingisha mwaka jana? Basi kwa taarifa yako, mwaka huu wa 2014 linakuja tena kivingine likiwa limesheheni mapinduzi makubwa katika burudani yatakayoacha historia ya kipekee Bongo. Kwa mujibu wa mratibu wa ishu hiyo, Luqman Maloto, mpango mzima utakuwa ni kwenye Sikukuu ya Nanenane (8/8/2014) katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo wasanii kibao kutoka Bongo, Afrika...

 

9 years ago

MillardAyo

Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva

Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu  wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao

“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni  mbali  hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...

 

10 years ago

Bongo5

PAPASO: Florah Mvungi adai Bongo Movie hawapendani na AT asema Bongo Fleva imejaa majungu tupu

Muigizaji wa filamu za Bongo ambaye naye ameingia kwenye Bongo Fleva, Florah Mvungi a.k.a H.Mama na msanii wa muziki wa mduara AT ambao hivi karibuni wametoa wimbo wa pamoja ‘Mkazurule’ , walikuwa wageni kwenye kipindi cha Papaso kupitia TBC Fm. Miongoni mwa vitu ambavyo Florah ambaye pia ni mke wa H.Baba alivisema ni kuwa waigizaji […]

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZAIDI ZA MKALI WA BONGO FLEVA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOPOKELEWA BONGO, SASA KUPELEKA TUZO DAR LIVE

Diamond akiongea na mashabiki wake baada ya kuwasili jijini Dar. Msafara wa Diamond kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.…

 

10 years ago

Jamtz.Com

HUYU NDO MSANII WA BONGO FLEVA ALIEFARIKI JANA TAR 20.10.2014

Tweet
http://photos-a.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/10727233_709860805766368_1533290281_n.jpgTasnia ya Bongo Flava imepata pigo baada ya msanii wa kundi la Wanaume Family anaefahamika kwa jina la YP kufariki jana usiku baada ya kuugua muda mrefu ugonjwa wa kifua. Meneja wa kundi la Wanaume Family amethibisha kifo cha msanii huyo na kueleza kuwa alikuwa akisumbuliwa na maradhi hayo kwa muda mrefu.
“Tatizo alikuwa anaumwa kifua muda tu, lakini alishaanza kunywa dozi lakini majuzi akazidiwa na tukampeleka hospitali. Jana ndo mwenyezi Mungu kampenda zaidi akamchukua. Wazazi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani