Picha: Bongo Movies Simba, Kuipamba Simba Day
Wachezaji wa BONGO MOVIES SIMBA wakiwa kwenye mazoezi makali kujiandaa na mechi ya SIMBA DAY tarehe 8/8 TAIFA STADIUM...HUYO MNAEMUONA NDIE MSHAMBULIAJI WAO TEGEMEO MSIKOSE
Jacob Stepehen ‘JB’ on instagram
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies17 Jul
Bongo Movies Wakabidhiwa Kadi za Uanachama wa Simba
Wasanii wa sanaa za maigizo maarufu kama ‘Bongo Movies’ wanaoishabikia klabu ya Simba jana wamekabidhiwa kadi za uanachama wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuelekea kwenye kilele cha siku ya Simba ijulikanayo kama ‘Simba Day’ ambayo huadhimishwa kila ifikapo Agosti 8 kila mwaka.Mwenyekiti wa klabu hiyo Evans Aveva ndiye aliyewakabidhi kadi hizo wasanii wakiongozwa na Jacob Steven ‘JB’, Mtitu, Monalisa pamoja na Odama ambao wote kwa pamoja...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-MIvenAIG-mQ/Vafy7AtF1_I/AAAAAAABduA/20bo7ddnuiQ/s72-c/MONALISA-2.jpg)
SIMBA DAY 2015 SIMBA KUCHEZA NA AFC LEOPARDS, KIINGILIO BURE
![](http://4.bp.blogspot.com/-MIvenAIG-mQ/Vafy7AtF1_I/AAAAAAABduA/20bo7ddnuiQ/s640/MONALISA-2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-cU7QaDzQTeg/Vaf0VrAplgI/AAAAAAABduM/tIA4SPj_vjo/s640/ODAMA.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Jul
Simba Day 2015 Simba kucheza na Leopards, kiingilio bure!
![SIMBA DAY 2015 Simba Kucheza na AFC Leopards, Kiingilio bure.](http://simbasports.co.tz/file/2015/07/simba-sports-club.png)
Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group, Imani Kajula akiwa Pamoja na Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva, wakati wa uzinduzi wa Simba Day.
Dhima ya Simba Sports Club ya kuendeleza mabadiliko ndani ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali wanachama, wapenzi wake na kukuza vyanzo vya mapato.
Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi Simba Week 2015 Rais wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnWcGVf*OuvTrYdRLSM*dh5MT7K7prCN6VZ37mSSGMjrx4PDVQFN7ktm0VQ1*8QlT0JUmlFUVE8UOKuo*gJwcuep/simbaday11.jpg?width=650)
TAMASHA LA SIMBA DAY: SIMBA YALALA 3-0 KWA ZESCO
9 years ago
Michuzi14 Aug
SIMBA SPORT CLUB YAWA ZAWADIA MASHABIKI WAKE WA BAHATI NASIBU ILIYOICHEZWA SIMBA DAY
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Kanumba Day: Jumbe Mbalimbali za Mastaa wa Bongo Movies
Leo imetimia miaka mitatu tangu aliekuwa staa nguli wa Bongo Movies, Steven Kanumba afariki dunia, hizi ni baadhi ya jumbe ambazo mastaa kutoka Bongo Movies wameziandika kuonyesha kumbukumbu zao kwa staa huyo.
Ni siku ambayo siwezi kusahau maisha yangu yote pumzika kwa amani kanumba wangu., nilikupenda ila mungu alikupenda zaidi . Pumzika kwa amani.
Johari
Huwezi kutaja mafanikio ya bongo movies bila kukutaja wewe...tunakuthamini na tunakukumbuka milele
JB
Steven Charles Kanumba pengo...
10 years ago
Bongo Movies21 May
Picha: Bongo Movies Sasa Inakwenda ‘Next Level’
Hizi ni picha za nyuma ya kamera za moja ya filamu ya kibongo ‘Bongo Movies’ ambapo msanii Haji Adam ‘Baba’ amevaa uhusika kwa kuwa na majeraha usoni.
Hizo ni make up tu. Hakika Bongo Movies sasa zimeanza kubeba uhalisia.
Hongeren sana.
11 years ago
Bongo526 Jul
Bongo Movies: Majuto, Hemedy, Johari watoa filamu mpya (Picha)
10 years ago
Dewji Blog09 Aug
MO anogesha tamasha la Simba Day
Mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day, Mohammed Dewji akichukua taswira mbalimbali kwenye majukwaa yaliyofurika mashabiki na wanachama wa Simba katika tamasha hilo lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day, Mohammed Dewji akisalimiana na mmoja wa wadau kwenye jukwaa kuu wakati wa tamasha la Simba Day. Kulia mwenye pama ni Makamu wa Rais wa klabu ya Simba SC, Geofrey Nyange ‘Kaburu’.
Rais wa klabu ya soka ya Simba, Evans Aveva...