Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bongo Movies: Majuto, Hemedy, Johari watoa filamu mpya (Picha)

Hemedy, Mzee Majuto na Johari wameingiza sokoni filamu zao mpya. Nao Mzee Majuto na Hemedy wameachia filamu yao Kimbulu iliyofanyika jijini Mwanza. “Sio kila unayemkuta kijijini ni mshamba wengine wanajua na wanaweza kuliko wewe. Mzee Mbunda na wajukuu zake jembe na edo madirector kutoka mjini wanaingia kijijini na kuwa na maisha ya KIMBULU. yaan paka […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Bongo Movies Sasa Inakwenda ‘Next Level’

Hizi ni picha za nyuma ya kamera za moja ya filamu ya kibongo ‘Bongo Movies’ ambapo msanii Haji Adam ‘Baba’ amevaa uhusika kwa kuwa na majeraha usoni.

Hizo ni make up tu. Hakika Bongo Movies sasa zimeanza kubeba uhalisia.

Hongeren sana.

 

11 years ago

Michuzi

Msanii nyota wa filamu za Bongo movies Rachel Haule "Recho" afariki dunia

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani chini), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam.  Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya taarifa za msiba wa msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho' mapema leo. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nisha Awapasha Watayarishaji wa filamu na Mastaa wa Bongo Movies, Yeye Aonyesha Njia

Hili naomba niwaulize ma- producers, mastaaa wengine,na mashabiki wote.. hivi mnajua kuna vipaji sana nje ya wanaojiita mastaa ila bado hawajapata nafasi??

Hivi ni kubaniwa ama nini hadi wengine hawaonekani? Kama sisi tungebaniwa tungetoka?  Hebu tuacheni maringo na kusaidia wenye uhitaji .

Mnayemuona juu hapo (Pichani) anaitwa Jenifer Temu picha tu jinsi alivyovaa uhusika inajieleza ni kwa jinsi gani amevaa uhusika kwenye filamu ya Mtaa kwa Mtaa, si huyo tu wapo wengi katika wale 50...

 

10 years ago

Bongo Movies

Filamu Mpya: Wolper , King Majuto Ndani ya ‘Huba’

Filamu  mpya iliyochezwa na wakali wa Bongo Movies   Wolper, Mzee Majuto na wengine wengi, inayokwenda kwa jina la HUBA kuingia sokoni wiki hii, 23.04.05.

Filamu ya Huba ni filamu inamzungumzia kijana alieachiwa mali na wazazi wake na yeye kuanza kuzitumia vibaya,kijana huyo alikua anaishi nyumba moja na babu yake ambaye ndio mzee Majuto.

Kijana alikua na tabia ya kubadili wasichana ndio akazama kwenye penzi la Wolper na kuzani Wolper anapenzi la dhati kwake kumbe amefata pesa tu.

Hii sio...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Bongo Movies Simba, Kuipamba Simba Day

Wachezaji wa BONGO MOVIES SIMBA wakiwa kwenye mazoezi makali kujiandaa na mechi ya SIMBA DAY tarehe 8/8 TAIFA STADIUM...HUYO MNAEMUONA NDIE MSHAMBULIAJI WAO TEGEMEO MSIKOSE

Jacob Stepehen ‘JB’ on instagram

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WAPONGEZA FILAMU MPYA YA "GOING BONGO"

Rais wa Shirikisho la Filamu Simon Mwakifamba akiongea na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi filamu ya ‘Going Bongo’ uliofanyika katika ukumbi wa cimema wa Cinemax jana Ijumaa jijini Dar es salaam
WADAU mbalimbali waliofika kwenye  onyesho la kwanza la filamu  ya Mtanzania anayeishi nchini Marekani  wametoa sifa kemkema kuhusu filamu hiyo  inayokwenda kwa jina la ‘Going Bongo’ na  wamewataka wasanii wa hapa nchini waige mfano wake.Wakizungumza baada ya kutoka kuaitazama ndani ya ukumbi wa...

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies kutoka kushoto ni Mwenyekiti wao Steve Nyerere, William Mtitu na Issa Mussa 'Cloud 112' baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam wakitokea Bagamoyo walipokwenda kujiwinda kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Bongo Fleva leo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Uwanja wa Taifa jijini Dar.

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII

Wasanii wa Bongo Movies wakijifua katika Viwanja vya Leaders jijini Dar jana jioni tayari kwa mpambano wao na Bongo Fleva keshokutwa Ijumaa. Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere (katikati) akionyesha ujuzi wakati wa mazoezi hayo jana.…

 

11 years ago

GPL

NIGHT OF HOPE 2014: BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0

Mwanamuziki Ali Kiba akimtoka msanii wa Bongo Movies, Issa Mussa 'Cloud 112'. Mwanamuziki H-Baba akijaribu kuwatoka wachezaji wa Bongo Movies.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani