SIMBA DAY 2015 SIMBA KUCHEZA NA AFC LEOPARDS, KIINGILIO BURE
![](http://4.bp.blogspot.com/-MIvenAIG-mQ/Vafy7AtF1_I/AAAAAAABduA/20bo7ddnuiQ/s72-c/MONALISA-2.jpg)
Rais wa Simba, Evans Aveva akimkabidhi kadi mpya ya uanachama wa Simba msanii wa Bongo Move, Yvonne Cherrie 'Monalisa' wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula. (Picha na Francis Dande)
Rais wa Simba, Evans Aveva akimkabidhi kadi mpya ya uanachama wa Simba msanii wa Bongo Move, Jeniffer Kyaka 'Odama' wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Jul
Simba Day 2015 Simba kucheza na Leopards, kiingilio bure!
![SIMBA DAY 2015 Simba Kucheza na AFC Leopards, Kiingilio bure.](http://simbasports.co.tz/file/2015/07/simba-sports-club.png)
Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group, Imani Kajula akiwa Pamoja na Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva, wakati wa uzinduzi wa Simba Day.
Dhima ya Simba Sports Club ya kuendeleza mabadiliko ndani ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali wanachama, wapenzi wake na kukuza vyanzo vya mapato.
Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi Simba Week 2015 Rais wa...
10 years ago
Michuzi16 Jul
SIMBA DAY 2015 KUCHEZA NA LEOPARDS, KIINGILIO BURE
Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi Simba Week 2015 Rais wa Simba Evans Aveva alisema ‘’Kila mwaka timu yetu ya Simba imekuwa na utaratibu wa kuwa na siku maalum kwa ajili ya kufurahi, kuwatambulisha...
10 years ago
TheCitizen21 May
Simba SC raid AFC Leopards for goalkeeper’s coach
10 years ago
Bongo Movies05 Aug
Picha: Bongo Movies Simba, Kuipamba Simba Day
Wachezaji wa BONGO MOVIES SIMBA wakiwa kwenye mazoezi makali kujiandaa na mechi ya SIMBA DAY tarehe 8/8 TAIFA STADIUM...HUYO MNAEMUONA NDIE MSHAMBULIAJI WAO TEGEMEO MSIKOSE
Jacob Stepehen ‘JB’ on instagram
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnWcGVf*OuvTrYdRLSM*dh5MT7K7prCN6VZ37mSSGMjrx4PDVQFN7ktm0VQ1*8QlT0JUmlFUVE8UOKuo*gJwcuep/simbaday11.jpg?width=650)
TAMASHA LA SIMBA DAY: SIMBA YALALA 3-0 KWA ZESCO
9 years ago
Michuzi14 Aug
SIMBA SPORT CLUB YAWA ZAWADIA MASHABIKI WAKE WA BAHATI NASIBU ILIYOICHEZWA SIMBA DAY
11 years ago
BBCSwahili03 Jun
AFC Leopards na Victoria fainali
10 years ago
GPLKIINGILIO MECHI YA YANGA, SIMBA 7,000/-